Idara ya Polisi ya Kenya imemwambia aliyekuwa Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua, kwamba italinda usalama wake kama raia wengine na imemtaka kutoa taarifa kwa polisi kuhusu ratiba na mienendo yake ili kuruhusu maafisa kupanga ulinzi wake ipasavyo.
Related Posts
Israel yasalimu amri baada ya kushindwa kuiangamiza HAMAS
Baada ya mapigano ya miezi 15 huko Ghaza hatimaye utawala wa Kizayuni wa Israel umelazimika kusalimu amri na kukubali makubaliano…

Njaa, magonjwa yanawatesa wakimbizi wa Rohingya, Trump apunguza misaada
Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, Filippo Grandi amesema kuwa, uamuzi wa utawala wa Trump…

Taathira za kisaikolojia zinazotokana na usomaji wa Qur’ani Tukufu
Mtaalamu mmoja wa masuala ya kifamilia amesema kuhusu taathira za kusoma Qur’ani Tukufu kwa mtazamo wa saikolojia kuwa: Kusoma maandishi…