Pigo jingine kwa mkoloni kizee Ufaransa, sasa ni wanajeshi wake wa Côte d’Ivoire

Jana Alkhamisi, mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa alipata pigo jingine baada ya wanajeshi wake kutimuliwa katika kambi yake pekee ya kijeshi nchini Ivory Coast, magharibi mwa Afrika. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya jana Alkhamisi ya vyombo mbalimbali vya habari.