#PICHA: Kijana ambaye hakuweza kujulikana jina lake mara moja akiwa amepanda juu ya magunia ya mkaa yaliyokuwa yamebebwa katika…

#PICHA: Kijana ambaye hakuweza kujulikana jina lake mara moja akiwa amepanda juu ya magunia ya mkaa yaliyokuwa yamebebwa katika sehemu ya kiti cha nyuma katika pilipiki eneo la Ngerengere, mkoani Pwani, jambo ambalo ni hatari kwake na watumiaji wengine wa barabara.