Pezeshkian: Silaha za nyuklia hazina nafasi katika doktrini ya Jamhuri ya Kiislamu

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema nchi yake haitafuatilii vita wala silaha za nyuklia, kwani mafundisho ya Jamhuri ya Kiislamu yanakataa mauaji ya watu wasio na hatia kwa hali yoyote.