Pezeshkian: Siasa za Trump kuhusu mazungumzo ni za nyuso mbili

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa sera za rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kusema: “Akiwa juu ya jukwaa (Trump) anasema anataka kufanya mazungumzo na sisi, lakini wakati huo huo anafunga njia zote.”