Pezeshkian: Marekani haiwezi kulikwamisha taifa la Iran katika jambo lolote + Picha

Rais Masoud Pezeshkian amesema kwamba Marekani haiwezi kuiwamisha Iran katika jambo lake lolote lile iwapo taifa hili la Kiislamu litashikamana vilivyo na mafundisho ya Qur’ani na ya Uislamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *