Rais wa Iran Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia zinaweza kuwa kielelezo cha ushirikiano wa kieneo na kusisitiza kuwa, umoja wa nchi za Kiislamu ni sharti la kupatikana amani, usalama na maendeleo endelevu ya kiuchumi katika eneo hili.
Related Posts
Guterres aonya kuhusu uwezekano wa vita vya kikanda kutokana na mgororo wa DRC
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, leo Jumamosi amesisitiza umuhimu wa kuheshimu “mipaka” ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

Urithi wa Mashahidi wa Brigedi za Qassam utatokomeza saratani ya Israeli
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema urithi adhimu wa Mashahidi wa Brigedi za Izzudin Qassam, tawi la…

Azma ya Iran ya kutekeleza operesheni ya tatu ya kijeshi dhidi ya Israel
Mshauri mwandamizi wa kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amethibitisha kwamba Iran itatekeleza operesheni…