Papa wa Misri: Wapalestina wa Gaza wanakabiliwa na dhulma za kuogofya

Papa Tawadros II, Kiongozi wa Kanisa la Kiorthodoksi la Coptic la Misri, amelaani vikali mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza na kuyataja kama “moja ya aina mbaya zaidi za dhuluma” dhidi ya Wapalestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *