Papa alifariki kutokana na kiharusi na mshtuko wa moyo – Vatican

Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Vatican ilisema Francis alifariki kutokana na kiharusi cha ubongo, kukosa fahamu na baadae mshituko wa moyo.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *