Papa ajaye atakuwa na asili ya Afrika?

Huku Wakatoliki wakisubiri kuchaguliwa kiongozi mpya wa Kanisa lao, minong’ono inazidi kuongezeka kuhusu wapi atatoka duniani, huku baadhi wakisema kuwa ni wakati mwafrika kuchaguliwa ili kuakisi ukuaji wa idadi ya watu wa Kanisa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *