Pakistan yatoa mamlaka kwa jeshi kuchagua wakati na jinsi ya kujibu mashambulizi ipasavyo

Waziri wa mambo ya ndani wa Pakistan ameita shambulizi la India kuwa “uchokozi wa aibu na woga”, ambao alisema unalenga “raia wenye amani, wakiwemo wanawake na watoto”.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *