Pakistan yaonya kuhusu mashambulizi ya India, yaapa kutoa majibu ya Kijeshi

Msaidizi mkuu wa Waziri Mkuu Shehbaz Sharif wa Pakistan ameonya kwamba shambulio la jeshi la India linaweza kuwa karibu, akisema Pakistan iko tayari kujibu kwa nguvu na kwamba silaha zake “sio za kuonyeshwa kwenye makumbusho.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *