Pakistan yaanzisha operesheni ya kijeshi ya “Al-Bun-yan Al-Marsoos” dhidi ya India

Baada ya India kufanya mashambulizi makubwa ya anga, jeshi la Pakistan limeamua kulipiza kisasi kwa kuanzisha mashambulizi ya anga, ya makombora na maroketi dhidi ya maeneo ya India. Operesheni hiyo imepewa jina la Al-Bun-yan al Marsoos yaani Jengo Lililoshikamana. Sambamba na kuanza operesheni hiyo, taarifa zinasema kuwa kumefanyika mashambulizi makubwa ya mtandao dhidi ya gridi ya umeme ya India.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *