Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
Borrell: Hati ya kukamatwa Netanyahu, Gallant si ya kisiasa, nchi zote za EU zina wajibu wa kuitekeleza
SWAHILI NEWS

Borrell: Hati ya kukamatwa Netanyahu, Gallant si ya kisiasa, nchi zote za EU zina wajibu wa kuitekeleza

MUKSININovember 22, 2024

Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amesema, hati za zilizotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya…

Baqaei: Vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran hayafui dafu
SWAHILI NEWS

Baqaei: Vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran hayafui dafu

MUKSININovember 22, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesisitiza kuwa, vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran…

Polisi Afrika Kusini wavamia maghala ya chakula kusaka bidhaa zilizokwisha muda wake
SWAHILI NEWS

Polisi Afrika Kusini wavamia maghala ya chakula kusaka bidhaa zilizokwisha muda wake

MUKSININovember 22, 2024

Polisi wa Afrika Kusini wamegundua vyakula vinavyoshukiwa kuisha muda wake wakati walipovamia maghala kadhaa ya chakula mjini Durban. Haya yanajiri…

Utawala wa kijeshi Mali wamteua waziri mkuu mpya baada ya kumtimua Maiga
SWAHILI NEWS

Utawala wa kijeshi Mali wamteua waziri mkuu mpya baada ya kumtimua Maiga

MUKSININovember 22, 2024

Baraza la utawala wa kijeshi la Mali jana Alkhamisi lilimteua msemaji wake, Abdoulaye Maiga, kuwa waziri mkuu siku moja baada…

Ijumaa, Novemba 22, 2024
SWAHILI NEWS

Ijumaa, Novemba 22, 2024

MUKSININovember 22, 2024

Leo ni Ijumaa tarehe 20 Mfunguo Nane, Jamadil Awwal 1446 Hijria inayosadifiiana na 22 Novemba 2024. Siku kama ya leo…

Shughuli za kibiashara zarejea Kariakoo
WANANCHI NEWS

Shughuli za kibiashara zarejea Kariakoo

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Shughuli za kibiashara katika maeneo yanayozunguka jengo la ghorofa nne lililoporomoka Kariakoo na kusababisha vifo, majeruhi na…

WANANCHI NEWS

Mchuano wa sera vyama vikitafuta kura za viongozi

MUKSININovember 21, 2024

Dar/mikoani.  Wakati kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji zikiwa zimeanza, vyama vimeendelea kunadi sera zake ili…

Zanzibar yazidi kufunguka kwa uwekezaji
WANANCHI NEWS

Zanzibar yazidi kufunguka kwa uwekezaji

MUKSININovember 21, 2024

Unguja. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff amesema Zanzibar inazidi kufunguka na uwekezaji…

Watoto wanne kati ya 15 wa Neema wapata ufadhili wa masomo
WANANCHI NEWS

Watoto wanne kati ya 15 wa Neema wapata ufadhili wa masomo

MUKSININovember 21, 2024

Morogoro. Hatimaye watoto wanne kati ya 15 wa marehemu Neema Kenge (39) wamepata ufadhili wa kusomeshwa shule ya bweni na…

Mama kizimbani akidaiwa kumnyonga mtoto wake wa siku moja
WANANCHI NEWS

Mama kizimbani akidaiwa kumnyonga mtoto wake wa siku moja

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Amina Ally (21), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa kesi ya jinai kujibu shtaka…

Makamba ataja mambo manne kuamua uchaguzi serikali za mitaa
WANANCHI NEWS

Makamba ataja mambo manne kuamua uchaguzi serikali za mitaa

MUKSININovember 21, 2024

Bumbuli. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), January Makamba ameyataja mambo yatakayokibeba Chama Cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa…

Alkhamisi, Novemba 21, 2024
SWAHILI NEWS

Alkhamisi, Novemba 21, 2024

MUKSININovember 21, 2024

Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na Novemba 21 mwaka 2024. Siku kama ya leo miaka…

Shahidi adai Chuma cha Chuma hakurudi Polisi kuchukua pasipoti
WANANCHI NEWS

Shahidi adai Chuma cha Chuma hakurudi Polisi kuchukua pasipoti

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka katika kesi ya kuwepo nchini bila kuwa na kibali inayomkabili…

Bei ya tangawizi yapaa Moshi ikifikia kilo Sh7000, ukame watajwa
WANANCHI NEWS

Bei ya tangawizi yapaa Moshi ikifikia kilo Sh7000, ukame watajwa

MUKSININovember 21, 2024

Moshi/Dar. Watumiaji na walaji wa tangawizi Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wamelalamikia kupanda bei ya bidhaa hiyo kutoka Sh2,000 hadi…

Siku 15 za maumivu kwa Kombo
WANANCHI NEWS

Siku 15 za maumivu kwa Kombo

MUKSININovember 21, 2024

Handeni. Kombo Mbwana, mmoja wa maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, hivi karibuni alikamatwa na kushtakiwa…

ICC yatoa hati kuwakamata Netanyahu, kiongozi wa Hamas
WANANCHI NEWS

ICC yatoa hati kuwakamata Netanyahu, kiongozi wa Hamas

MUKSININovember 21, 2024

The Hague. Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wametoa hati ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu,…

WANANCHI NEWS

VIDEO: Siku 29 za maumivu kwa Kombo wa Chadema

MUKSININovember 21, 2024

Handeni. Kombo Mbwana, mmoja wa maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, hivi karibuni alikamatwa na kushtakiwa…

Mawazo mseto Professor Jay kurudi kwenye siasa
WANANCHI NEWS

Mawazo mseto Professor Jay kurudi kwenye siasa

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Baada ya mwanasiasa na mwanamuziki wa hip-hop nchini, Joseph Haule maarufu ‘Professor Jay’ kurudi kwenye siasa kwa…

Ramovic aanza na mambo manne Yanga
WANANCHI NEWS

Ramovic aanza na mambo manne Yanga

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Kocha mpya wa Yanga, Sead Ramovic jana jioni alitarajiwa kuwa na kikosi chake kamili baada ya mastaa…

Takukuru yaonya wananchi kauli ya ‘unatuachaje sasa’ kwa wagombea
WANANCHI NEWS

Takukuru yaonya wananchi kauli ya ‘unatuachaje sasa’ kwa wagombea

MUKSININovember 21, 2024

Mwanza. Ikiwa imepita siku moja tangu kipyenga cha kampeni za Serikali za Mitaa kipulizwe, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na…

Ramovic aanza na mambo haya mazoezini Yanga
WANANCHI NEWS

Ramovic aanza na mambo haya mazoezini Yanga

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Kocha mpya wa Yanga, Sead Ramovic jana jioni alitarajiwa kuwa na kikosi chake kamili baada ya mastaa…

Maagizo ya Majaliwa udhibiti wa magonjwa ya dharura, majanga
WANANCHI NEWS

Maagizo ya Majaliwa udhibiti wa magonjwa ya dharura, majanga

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Wakati Shirika la Afya Duniani (WHO) likiitaja Tanzania kuongoza ukanda wa Afrika Mashariki katika kukabiliana na magonjwa…

Marekani yamtambua Gonzalez aliyekimbia nchi kama Rais mteule Venezuela
WANANCHI NEWS

Marekani yamtambua Gonzalez aliyekimbia nchi kama Rais mteule Venezuela

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Marekani imemtambua kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Edmundo González kama Rais mteule wa nchi hiyo licha ya…

Dk Jafo: Wahitimu changamkieni soko huru Afrika
WANANCHI NEWS

Dk Jafo: Wahitimu changamkieni soko huru Afrika

MUKSININovember 21, 2024

Dodoma. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kutumia elimu na ujuzi walioupata…

Zuhura kabla ya kuwa Zuchu, alipita kwenye msoto mkali
WANANCHI NEWS

Zuhura kabla ya kuwa Zuchu, alipita kwenye msoto mkali

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha…

Mahakama ya ICC yatoa waranti wa kukamatwa Netanyahu na Gallant
SWAHILI NEWS

Mahakama ya ICC yatoa waranti wa kukamatwa Netanyahu na Gallant

MUKSININovember 21, 2024

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamin Netanyahu…

ZEC yarekebisha mipaka ya majimbo mawili
WANANCHI NEWS

ZEC yarekebisha mipaka ya majimbo mawili

MUKSININovember 21, 2024

Unguja. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imefanya marekebisho madogo ya mipaka ya majimbo ya Wete na Mtambwe kiswani Pemba. Hatua…

Rais Ruto: Maandamano ya mwezi Juni yalijaa uhuni
SWAHILI NEWS

Rais Ruto: Maandamano ya mwezi Juni yalijaa uhuni

MUKSININovember 21, 2024

Ris William Ruto wa Kenya ameonekana kutetea mienendo ya maafisa wa polisi waliodaiwa kuhangaisha waandamanaji mwezi Juni 2024, wakati wa…

Mbaroni akituhumiwa kubaka mtoto wa miaka sita, kumuua
WANANCHI NEWS

Mbaroni akituhumiwa kubaka mtoto wa miaka sita, kumuua

MUKSININovember 21, 2024

Unguja. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini, Unguja llikimshikilia Maulid Hassan Maulid (18) kwa tuhuma za kubaka na kumsababishia…

WANANCHI NEWS

Msuva anavyoibeba Stars kwa bao mbilimbili Afcon

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Mshambuliaji Simon Msuva ameonekana kuisaidia Taifa Stars kwenye mechi muhimu za kufuzu mashindano ya Afcon akiwa amehusika…

Mawakili wa Boni Yai wataka upelelezi uharakishwe, wajibiwa
WANANCHI NEWS

Mawakili wa Boni Yai wataka upelelezi uharakishwe, wajibiwa

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Upande wa utetezi katika kesi ya jinai inayomkabili meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob,…

Taasisi za umma, sekta binasi Musoma zapewa siku 40
WANANCHI NEWS

Taasisi za umma, sekta binasi Musoma zapewa siku 40

MUKSININovember 21, 2024

Musoma. Mkuu wa Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, Juma Chikoka amezitaka taasisi za umma na binfasi zinazotoa huduma ya chakula kwa…

Hizi hapa applikesheni 69 za mikopo mtandaoni zilizofungiwa
WANANCHI NEWS

Hizi hapa applikesheni 69 za mikopo mtandaoni zilizofungiwa

MUKSININovember 21, 2024

Dodoma. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imezifungia kutoa mikopo programu tumizi (application) baada ya kuzibaini zinaendesha shughuli hiyo kidijitali bila…

Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani na siku za huzuni kwa watoto wa Gaza na Lebanon
SWAHILI NEWS

Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani na siku za huzuni kwa watoto wa Gaza na Lebanon

MUKSININovember 21, 2024

Siku ya Kimataifa ya Watoto imeadhimishwa duniani huku mauaji ya watoto wa Gaza na Lebanon yanayofanywa na utawala wa Kizayuni…

Mashahidi wawili kutoa ushahidi kesi ya Chuma cha Chuma
WANANCHI NEWS

Mashahidi wawili kutoa ushahidi kesi ya Chuma cha Chuma

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Serikali imesema itakuwa na mashahidi wawili wa upande wa mashtaka katika kesi ya jinai inayomkabili raia wa…

Marekani yapinga tena azimio la kusitisha mapigano Gaza
SWAHILI NEWS

Marekani yapinga tena azimio la kusitisha mapigano Gaza

MUKSININovember 21, 2024

Ikiwa ni katika muendelezo wa uungaji mkono wake mkubwa kwa utawala ghasibu wa Israel, mapema siku ya Jumatano Novemba, Marekani…

Tutumie kampeni kumjua kiongozi sahihi
WANANCHI NEWS

Tutumie kampeni kumjua kiongozi sahihi

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Siasa ni daraja la maendeleo, lakini msingi wake ni uongozi bora. Kauli hii imebeba uzito wa dhana…

Yaliyojiri kesi anayedaiwa kujeruhi, kutishia kwa bastola Club 1245
WANANCHI NEWS

Yaliyojiri kesi anayedaiwa kujeruhi, kutishia kwa bastola Club 1245

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao…

Wasanii hawa wakikaa pamoja hawashikiki
WANANCHI NEWS

Wasanii hawa wakikaa pamoja hawashikiki

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Kuwa na muunganiko mzuri wa wasanii hufanya kazi zao kupendwa na kuwaletea mafanikio. Wengine hupenda kuita Duo…

Rais wa Iran atoa wito kwa Papa Francis kusaidia kukomesha jinai za Wazayuni huko Gaza, Lebanon
SWAHILI NEWS

Rais wa Iran atoa wito kwa Papa Francis kusaidia kukomesha jinai za Wazayuni huko Gaza, Lebanon

MUKSININovember 21, 2024

Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, katika ujumbe wake kwa Papa Francis, ametoa wito wa kumtaka atumie ofisi yake kusaidia kukomesha…

Kocha wa makipa Chelsea aachia ngazi
WANANCHI NEWS

Kocha wa makipa Chelsea aachia ngazi

MUKSININovember 21, 2024

London, England. Baada ya kudumu kwa miaka 18 kwenye kikosi cha Chelsea kocha wa makipa wa timu hiyo, Hilario ameachia ngazi.…

Pezeshkian: Upanuzi wa uhusiano na Qatar ni muhimu kwa Iran
SWAHILI NEWS

Pezeshkian: Upanuzi wa uhusiano na Qatar ni muhimu kwa Iran

MUKSININovember 21, 2024

Rais Masoud Pezeshkian amesema Iran inaupa umuhimu mkubwa upanuzi wa uhusiano na jirani na rafiki yake,  Qatar. Rais Pezeshkian aliyasema…

Hamas: Israel inalenga ‘kufuta uwepo wote wa Wapalestina’
SWAHILI NEWS

Hamas: Israel inalenga ‘kufuta uwepo wote wa Wapalestina’

MUKSININovember 21, 2024

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas,  inasema kuwa lengo pekee la utawala wa Kizayuni wa Israel ni “kufuta”…

Iran yaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Mashujaa, kwa heshima ya Shahidi Qassem Soleimani
SWAHILI NEWS

Iran yaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Mashujaa, kwa heshima ya Shahidi Qassem Soleimani

MUKSININovember 21, 2024

Iran leo inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Mashujaa , ikitoa heshima kwa mmoja wa watu wake wakuu, Shahidi Qassem Soleimani.…

Sheikh Qassem: Hizbullah kulenga Tel Aviv kujibu mashambulizi ya Israel dhidi ya Beirut
SWAHILI NEWS

Sheikh Qassem: Hizbullah kulenga Tel Aviv kujibu mashambulizi ya Israel dhidi ya Beirut

MUKSININovember 21, 2024

Kiongozi wa Hizbullah amesema harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon iko tayari kupigana vita vya muda mrefu dhidi ya utawala…

Araghchi: Bodi ya Magavana ya IAEA inahitaji kupinga azimio la E3 dhidi ya Iran
SWAHILI NEWS

Araghchi: Bodi ya Magavana ya IAEA inahitaji kupinga azimio la E3 dhidi ya Iran

MUKSININovember 21, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema wajumbe wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa…

Kesi ya Boni Yai, Malisa kuanza kusikilizwa Desemba 19
WANANCHI NEWS

Kesi ya Boni Yai, Malisa kuanza kusikilizwa Desemba 19

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Desemba 19, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa…

Iran na Qatar zasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
SWAHILI NEWS

Iran na Qatar zasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

MUKSININovember 21, 2024

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar katika mazungumzo yao mjini Tehran wamesisitiza juu…

Marekani yapinga tena rasimu ya azimio la kusitisha vita, Gaza
SWAHILI NEWS

Marekani yapinga tena rasimu ya azimio la kusitisha vita, Gaza

MUKSININovember 21, 2024

Katika kuuhami na kuunga mkono utawala wa Israel, Marekani kwa mara nyingine tena imelipigia kura ya turufu azimio la nchi…

Wapiganaji wa RSF washambulia kijiji na kuua watu 42 katikati mwa Sudan
SWAHILI NEWS

Wapiganaji wa RSF washambulia kijiji na kuua watu 42 katikati mwa Sudan

MUKSININovember 21, 2024

Watu wasiopungua 42 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika kijiji cha Wad…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us