Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
Uamuzi wa ICC wa kutiwa mbaroni Netanyahu na mshirika waendelea kupongezwa
SWAHILI NEWS

Uamuzi wa ICC wa kutiwa mbaroni Netanyahu na mshirika waendelea kupongezwa

MUKSININovember 22, 2024

Mataifa na shakhsia mbalinmbali ulimwenguni wameendelea kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutoa hati ya kukamatwa…

Tashico kujenga meli nne Bahari ya Hindi
WANANCHI NEWS

Tashico kujenga meli nne Bahari ya Hindi

MUKSININovember 22, 2024

Mwanza. Serikali kupitia Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico), imeanza mchakato wa kujenga meli ya mizigo katika Bahari ya Hindi ikiwa…

Mapigano mapya yazuka katika mji mkuu wa Sudan Kusini
SWAHILI NEWS

Mapigano mapya yazuka katika mji mkuu wa Sudan Kusini

MUKSININovember 22, 2024

Mapigano makali ya bunduki yamezuka, katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya vikosi vya usalama kwenda kumkamata mkuu…

Morocco aanavyowabeba makocha wazawa
WANANCHI NEWS

Morocco aanavyowabeba makocha wazawa

MUKSININovember 22, 2024

Kufuzu kwa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 ni hatua kubwa katika historia ya soka la…

Shahidi: Chuma cha Chuma alitakiwa kuishi nchini kwa siku 60
WANANCHI NEWS

Shahidi: Chuma cha Chuma alitakiwa kuishi nchini kwa siku 60

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Shahidi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi ya kuwepo nchini bila kibali, inayomkabili raia wa…

Kiburi cha usomi, sumu inayovunja ndoa, uhusiano
WANANCHI NEWS

Kiburi cha usomi, sumu inayovunja ndoa, uhusiano

MUKSININovember 22, 2024

Kwa mujibu wa uzoefu wetu, tumeshuhudia au kusikia kuhusu visa vinavyosababisha migogoro, kuvunjika au kudorora kwa ndoa. Na miongoni mwa…

TMA yatoa angalizo la mvua kubwa
WANANCHI NEWS

TMA yatoa angalizo la mvua kubwa

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ikieleza kuhusu matarajio ya hali mbaya ya hewa…

Mahakama yaamuru Chavda akamatwe kwa kuruka dhamana
WANANCHI NEWS

Mahakama yaamuru Chavda akamatwe kwa kuruka dhamana

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata popote alipo, mfanyabiashara maarufu nchini, Pravinchandra Chavda (75)…

Vipigo vimembakisha Guardiola Man City
WANANCHI NEWS

Vipigo vimembakisha Guardiola Man City

MUKSININovember 22, 2024

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola, amesema alikuwa amepanga huu uwe msimu wake wa mwisho na timu hiyo, lakini ameamua…

Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant
SWAHILI NEWS

Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant

MUKSININovember 22, 2024

Seneta wa Marekani Bernie Sanders ameunga mkono uamuzi uliotoloewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC jana Alkhamisi wa kuamuru…

Mechi ya pointi tatu za mtego
WANANCHI NEWS

Mechi ya pointi tatu za mtego

MUKSININovember 22, 2024

Simba waliitaka mechi ya leo dhidi ya Pamba Jiji na wamepatiwa baada ya hapo awali Bodi ya Ligi Kuu Tanzania…

Putin aonya kujibu mapigo kwa nchi zinazotoa silaha za kushambulia ardhi ya Russia
SWAHILI NEWS

Putin aonya kujibu mapigo kwa nchi zinazotoa silaha za kushambulia ardhi ya Russia

MUKSININovember 22, 2024

Rais Vladimir Russia ameonya kuwa, Moscow inabaki nayo haki yake ya kushambulia vituo vya kijeshi vya nchi zinazoruhusu silaha zao…

Iran kuweka sentrifuji za kisasa kujibu hatua ya Bodi ya Magavana ya IAEA kupitisha azimio dhidi yake
SWAHILI NEWS

Iran kuweka sentrifuji za kisasa kujibu hatua ya Bodi ya Magavana ya IAEA kupitisha azimio dhidi yake

MUKSININovember 22, 2024

Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ametoa amri ya kuchukuliwa hatua madhubuti ikiwa ni pamoja na kuwekwa…

Magaidi wakufurishaji waua Waislamu 40 wa Kishia, wajeruhi 30 kaskazini magharibi mwa Pakistan
SWAHILI NEWS

Magaidi wakufurishaji waua Waislamu 40 wa Kishia, wajeruhi 30 kaskazini magharibi mwa Pakistan

MUKSININovember 22, 2024

Kundi la magaidi wakufurishaji wameyafyatulia risasi magari ya abiria yaliyokuwa yamebeba raia Waislamu wa madhehebu ya Shia kaskazini-magharibi mwa Pakistan…

Hatua zichukuliwe kuporomoka ghorofa Kariakoo
WANANCHI NEWS

Hatua zichukuliwe kuporomoka ghorofa Kariakoo

MUKSININovember 22, 2024

Tukio la kuanguka kwa jengo la ghorofa nne eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ni maafa yaliyowagusa Watanzania na…

Hata Uholanzi, Canada na Uswisi zasema zitamkamata Netanyahu akithubutu kwenda katika nchi zao
SWAHILI NEWS

Hata Uholanzi, Canada na Uswisi zasema zitamkamata Netanyahu akithubutu kwenda katika nchi zao

MUKSININovember 22, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi amekaribisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kutoa hati ya…

Aina za watu duniani, je, wewe ni nani?
WANANCHI NEWS

Aina za watu duniani, je, wewe ni nani?

MUKSININovember 22, 2024

Nitatumia msingi wa tabia za binadamu kuelezea aina kuu nne za watu duniani, nitakuongoza walau ujifahamu na kuwafahamu wanaokuzunguka. Naam,…

Taasisi zinazotetea haki za raia, mstaafu si raia?
WANANCHI NEWS

Taasisi zinazotetea haki za raia, mstaafu si raia?

MUKSININovember 22, 2024

Kuna hizi taasisi za ndani na nje ya nchi zinazokunja hela inayoeleweka zikidaiwa kuwatetea raia wa dunia yetu hii, zikiongozwa…

Athari za unyanyasaji kwa mjamzito na mtoto atakayezaliwa
WANANCHI NEWS

Athari za unyanyasaji kwa mjamzito na mtoto atakayezaliwa

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Katika kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, jarida hili linaangazia athari za kiafya kwa mjamzito…

Vigezo aliyejifungua kwa upasuaji kuzaa kawaida
WANANCHI NEWS

Vigezo aliyejifungua kwa upasuaji kuzaa kawaida

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Kutokana na sababu mbalimbali, ikiwamo ya uzito mkubwa kwa mtoto, inaelezwa kuwa husababisha daktari kumshauri mjamzito kujifungua…

Sababu vifo vitokanavyo na majengo kuanguka
WANANCHI NEWS

Sababu vifo vitokanavyo na majengo kuanguka

MUKSININovember 22, 2024

Mwishoni mwa wiki iliyopita eneo la Kariakoo lenye shughuli nyingi za biashara, kulitokea ajali ya kuanguka kwa jengo la ghorofa…

Borrell: Hati ya kukamatwa Netanyahu, Gallant si ya kisiasa, nchi zote za EU zina wajibu wa kuitekeleza
SWAHILI NEWS

Borrell: Hati ya kukamatwa Netanyahu, Gallant si ya kisiasa, nchi zote za EU zina wajibu wa kuitekeleza

MUKSININovember 22, 2024

Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amesema, hati za zilizotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya…

Baqaei: Vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran hayafui dafu
SWAHILI NEWS

Baqaei: Vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran hayafui dafu

MUKSININovember 22, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesisitiza kuwa, vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran…

Polisi Afrika Kusini wavamia maghala ya chakula kusaka bidhaa zilizokwisha muda wake
SWAHILI NEWS

Polisi Afrika Kusini wavamia maghala ya chakula kusaka bidhaa zilizokwisha muda wake

MUKSININovember 22, 2024

Polisi wa Afrika Kusini wamegundua vyakula vinavyoshukiwa kuisha muda wake wakati walipovamia maghala kadhaa ya chakula mjini Durban. Haya yanajiri…

Utawala wa kijeshi Mali wamteua waziri mkuu mpya baada ya kumtimua Maiga
SWAHILI NEWS

Utawala wa kijeshi Mali wamteua waziri mkuu mpya baada ya kumtimua Maiga

MUKSININovember 22, 2024

Baraza la utawala wa kijeshi la Mali jana Alkhamisi lilimteua msemaji wake, Abdoulaye Maiga, kuwa waziri mkuu siku moja baada…

Ijumaa, Novemba 22, 2024
SWAHILI NEWS

Ijumaa, Novemba 22, 2024

MUKSININovember 22, 2024

Leo ni Ijumaa tarehe 20 Mfunguo Nane, Jamadil Awwal 1446 Hijria inayosadifiiana na 22 Novemba 2024. Siku kama ya leo…

Shughuli za kibiashara zarejea Kariakoo
WANANCHI NEWS

Shughuli za kibiashara zarejea Kariakoo

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Shughuli za kibiashara katika maeneo yanayozunguka jengo la ghorofa nne lililoporomoka Kariakoo na kusababisha vifo, majeruhi na…

WANANCHI NEWS

Mchuano wa sera vyama vikitafuta kura za viongozi

MUKSININovember 21, 2024

Dar/mikoani.  Wakati kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji zikiwa zimeanza, vyama vimeendelea kunadi sera zake ili…

Zanzibar yazidi kufunguka kwa uwekezaji
WANANCHI NEWS

Zanzibar yazidi kufunguka kwa uwekezaji

MUKSININovember 21, 2024

Unguja. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff amesema Zanzibar inazidi kufunguka na uwekezaji…

Watoto wanne kati ya 15 wa Neema wapata ufadhili wa masomo
WANANCHI NEWS

Watoto wanne kati ya 15 wa Neema wapata ufadhili wa masomo

MUKSININovember 21, 2024

Morogoro. Hatimaye watoto wanne kati ya 15 wa marehemu Neema Kenge (39) wamepata ufadhili wa kusomeshwa shule ya bweni na…

Mama kizimbani akidaiwa kumnyonga mtoto wake wa siku moja
WANANCHI NEWS

Mama kizimbani akidaiwa kumnyonga mtoto wake wa siku moja

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Amina Ally (21), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa kesi ya jinai kujibu shtaka…

Makamba ataja mambo manne kuamua uchaguzi serikali za mitaa
WANANCHI NEWS

Makamba ataja mambo manne kuamua uchaguzi serikali za mitaa

MUKSININovember 21, 2024

Bumbuli. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), January Makamba ameyataja mambo yatakayokibeba Chama Cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa…

Alkhamisi, Novemba 21, 2024
SWAHILI NEWS

Alkhamisi, Novemba 21, 2024

MUKSININovember 21, 2024

Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na Novemba 21 mwaka 2024. Siku kama ya leo miaka…

Shahidi adai Chuma cha Chuma hakurudi Polisi kuchukua pasipoti
WANANCHI NEWS

Shahidi adai Chuma cha Chuma hakurudi Polisi kuchukua pasipoti

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka katika kesi ya kuwepo nchini bila kuwa na kibali inayomkabili…

Bei ya tangawizi yapaa Moshi ikifikia kilo Sh7000, ukame watajwa
WANANCHI NEWS

Bei ya tangawizi yapaa Moshi ikifikia kilo Sh7000, ukame watajwa

MUKSININovember 21, 2024

Moshi/Dar. Watumiaji na walaji wa tangawizi Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wamelalamikia kupanda bei ya bidhaa hiyo kutoka Sh2,000 hadi…

Siku 15 za maumivu kwa Kombo
WANANCHI NEWS

Siku 15 za maumivu kwa Kombo

MUKSININovember 21, 2024

Handeni. Kombo Mbwana, mmoja wa maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, hivi karibuni alikamatwa na kushtakiwa…

ICC yatoa hati kuwakamata Netanyahu, kiongozi wa Hamas
WANANCHI NEWS

ICC yatoa hati kuwakamata Netanyahu, kiongozi wa Hamas

MUKSININovember 21, 2024

The Hague. Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wametoa hati ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu,…

WANANCHI NEWS

VIDEO: Siku 29 za maumivu kwa Kombo wa Chadema

MUKSININovember 21, 2024

Handeni. Kombo Mbwana, mmoja wa maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, hivi karibuni alikamatwa na kushtakiwa…

Mawazo mseto Professor Jay kurudi kwenye siasa
WANANCHI NEWS

Mawazo mseto Professor Jay kurudi kwenye siasa

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Baada ya mwanasiasa na mwanamuziki wa hip-hop nchini, Joseph Haule maarufu ‘Professor Jay’ kurudi kwenye siasa kwa…

Ramovic aanza na mambo manne Yanga
WANANCHI NEWS

Ramovic aanza na mambo manne Yanga

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Kocha mpya wa Yanga, Sead Ramovic jana jioni alitarajiwa kuwa na kikosi chake kamili baada ya mastaa…

Takukuru yaonya wananchi kauli ya ‘unatuachaje sasa’ kwa wagombea
WANANCHI NEWS

Takukuru yaonya wananchi kauli ya ‘unatuachaje sasa’ kwa wagombea

MUKSININovember 21, 2024

Mwanza. Ikiwa imepita siku moja tangu kipyenga cha kampeni za Serikali za Mitaa kipulizwe, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na…

Ramovic aanza na mambo haya mazoezini Yanga
WANANCHI NEWS

Ramovic aanza na mambo haya mazoezini Yanga

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Kocha mpya wa Yanga, Sead Ramovic jana jioni alitarajiwa kuwa na kikosi chake kamili baada ya mastaa…

Maagizo ya Majaliwa udhibiti wa magonjwa ya dharura, majanga
WANANCHI NEWS

Maagizo ya Majaliwa udhibiti wa magonjwa ya dharura, majanga

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Wakati Shirika la Afya Duniani (WHO) likiitaja Tanzania kuongoza ukanda wa Afrika Mashariki katika kukabiliana na magonjwa…

Marekani yamtambua Gonzalez aliyekimbia nchi kama Rais mteule Venezuela
WANANCHI NEWS

Marekani yamtambua Gonzalez aliyekimbia nchi kama Rais mteule Venezuela

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Marekani imemtambua kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Edmundo González kama Rais mteule wa nchi hiyo licha ya…

Dk Jafo: Wahitimu changamkieni soko huru Afrika
WANANCHI NEWS

Dk Jafo: Wahitimu changamkieni soko huru Afrika

MUKSININovember 21, 2024

Dodoma. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kutumia elimu na ujuzi walioupata…

Zuhura kabla ya kuwa Zuchu, alipita kwenye msoto mkali
WANANCHI NEWS

Zuhura kabla ya kuwa Zuchu, alipita kwenye msoto mkali

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha…

Mahakama ya ICC yatoa waranti wa kukamatwa Netanyahu na Gallant
SWAHILI NEWS

Mahakama ya ICC yatoa waranti wa kukamatwa Netanyahu na Gallant

MUKSININovember 21, 2024

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamin Netanyahu…

ZEC yarekebisha mipaka ya majimbo mawili
WANANCHI NEWS

ZEC yarekebisha mipaka ya majimbo mawili

MUKSININovember 21, 2024

Unguja. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imefanya marekebisho madogo ya mipaka ya majimbo ya Wete na Mtambwe kiswani Pemba. Hatua…

Rais Ruto: Maandamano ya mwezi Juni yalijaa uhuni
SWAHILI NEWS

Rais Ruto: Maandamano ya mwezi Juni yalijaa uhuni

MUKSININovember 21, 2024

Ris William Ruto wa Kenya ameonekana kutetea mienendo ya maafisa wa polisi waliodaiwa kuhangaisha waandamanaji mwezi Juni 2024, wakati wa…

Mbaroni akituhumiwa kubaka mtoto wa miaka sita, kumuua
WANANCHI NEWS

Mbaroni akituhumiwa kubaka mtoto wa miaka sita, kumuua

MUKSININovember 21, 2024

Unguja. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini, Unguja llikimshikilia Maulid Hassan Maulid (18) kwa tuhuma za kubaka na kumsababishia…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us