Jeshi la Polisi Tanzania lamtia mbaroni kiongozi maarufu wa upinzani
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mmoja wa viongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania amekamatwa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mmoja wa viongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania amekamatwa…
Askari wasiopungua sita wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameripotiwa kujiua katika miezi ya hivi karibuni, kutokana na…
Leo ni Jumamosi 21 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria sawa na 23 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo miaka…
Dar es Salaam. Ni wazi kuwa Alikiba na Diamond Platnumz wamekuwa na nguvu kubwa ya ushawishi sio kwa mashabiki tu bali…
Dar es Salaam.Namkumbuka marehemu Kikumbi Mwanza Mpango. Kwenye wimbo wake “Mtoto wa Mjini” aliimba “Dar es Salaam yachemka kama bahari,…
Mbeya. Wananchi katika vijiji saba vilivyopo katika halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, wataondokana na adha ya kutembelea umbali mrefu kufuata…
Jinai za kutisha zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita zimekuwa na…
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu imesema kuwa mwaka huu umeshuhudia mauaji ya wafanyakazi wengi wa…
Wanawake katika nchi za Afrika zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara, wanatumia masaa milioni 200 kila siku kwa ajili ya…
Behrouz Kamalvandi, msemaji na mkuu wa masuala ya kimataifa na kisheria katika Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amezungumzia…
Mji mmoja nchini Marekani umeahidi kumkamata Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu, na waziri wake wa zamani wa…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa salamu za rambirambi kufuatia shambulizi la kigaidi lililotokea kaskazini magharibi mwa Pakistan. Katika barua…
Ethiopia inapanga kusafirisha takriban megawati 100 za umeme kwa Tanzania kupitia Kenya, ikiwa ni hatua muhimu ya ushirikiano wa nchi…
Dar es Salaam. Habari za uhakika kutoka ndani ya Simba, zinasema kuna kazi ngumu ya kufanya ili kumbakisha nahodha wa timu hiyo,…
Dar es Salaam. Chama cha Wamiliki wa malori wa Kati na Wadogo (Tamstoa), kimeonyesha nia yake ya kutaka kuwekeza katika…
Moshi. Makandarasi wa miradi iliyotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura) mkoani Kilimanjaro, wamesema wanahofia kufilisiwa…
Dar es Salaam. Wakati maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yakitarajiwa kufanyika kwa ngazi ya taifa Machi 2025, Serikali imesema…
Dar es Salaam. Wakati kamati ya uchunguzi wa ajali ya jengo lililoporomoka Kariakoo na masuala mengineyo ikianza kazi, wataalamu na…
Bunda. Watu wanne wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa huku mmoja akiwa katika hali mbaya, baada ya lori lililokuwa limepakia…
Dar/Mikoani. Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji zikiingia siku ya tatu leo Novemba 22, 24 vyama…
Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimewataka wagombea wa vyama vyote kwenye uchaguzi wa Serikali…
Simba imeendeleza ubabe katika mechi za ugenini za Ligi Kuu msimu huu huku ikizidi kujichimbia kileleni mwa msimamo baada ya…
Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya, amekitaka Chuo cha Kodi nchini kuhakikisha kinatoa mafunzo…
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Tanzania limesema bado linaendelea na uchunguzi wa matukio mawili yaliyojitokeza nchini, likiwemo lile la…
Dar es Salaam. Katika kukabiliana na wimbi la uhalifu wa utapeli mtandaoni, Serikali imeunda kikosi kazi kitakachotafuta mbinu mahususi za…
Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema somo la biashara litakuwa ni lazima kwa wanafunzi wote kuanzia mwaka wa masomo 2025/26,…
Bukoba. Nani waliomlisha sumu Daud Francisco? Ni kitendawili kinachohitaji kuteguliwa na vyombo vya uchunguzi, baada ya Mahakama Kuu Kanda ya…
Marekani. Mkongwe wa filamu Marekani, Denzel Washington, 69, amesema amefanya uharibifu mkubwa katika mwili wake kipindi alichokuwa akitumia dawa za…
Unguja. Ukizinduliwa mpango wa maboresho ya huduma za bandari, Rais wa Zanzibar , Dk Hussein Mwinyi amesema utaleta mageuzi ya…
Unguja. Wakazi wa Tomondo, Mkoa wa Mjini Magharibi wameiomba Serikali kuwajengea miundombinu ya barabara za mtaani kwani ubovu wa miundombinu…
Nchi tatu za Ulaya zimewasilisha mswada wa azimio kwa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki…
Sikonge, Tabora.Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu nne kwa tuhuma za kuuza mifuko 600 ya mbolea aina ya…
Dar es Salaam. Uongozi si cheo. Si maneno matamu kwenye kampeni, wala tabasamu mwanana katika mikutano ya hadhara. Uongozi ni…
Mwanza. Baada ya Klabu ya Simba kutoa taarifa jana kwa umma ikilaani kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelichukulia azimio la Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa…
Mabingwa watetezi wa Kombe la FA, Yanga SC, wataanza safari yao ya kutetea taji kwa kucheza dhidi ya Copco FC…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH amesema kuwa, wananchi wa Iran lazima wawe…
Songwe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe kwa…
Serikali ya Afrika Kusini imepongeza hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya kutoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu…
Chama tawala nchini Senegal, PASTEF, kimeshinda karibu robo tatu ya viti vya Bunge katika uchaguzi uliofanyika wikendi iliyopita, matokeo yanayomaanisha…
Kwa mujibu wa uzoefu wetu, tumeshuhudia au kusikia kuhusu visa vinavyosababisha migogoro, kuvunjika au kudorora kwa ndoa. Na miongoni mwa…
Mataifa na shakhsia mbalinmbali ulimwenguni wameendelea kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutoa hati ya kukamatwa…
Mwanza. Serikali kupitia Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico), imeanza mchakato wa kujenga meli ya mizigo katika Bahari ya Hindi ikiwa…
Mapigano makali ya bunduki yamezuka, katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya vikosi vya usalama kwenda kumkamata mkuu…
Kufuzu kwa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 ni hatua kubwa katika historia ya soka la…
Dar es Salaam. Shahidi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi ya kuwepo nchini bila kibali, inayomkabili raia wa…
Kwa mujibu wa uzoefu wetu, tumeshuhudia au kusikia kuhusu visa vinavyosababisha migogoro, kuvunjika au kudorora kwa ndoa. Na miongoni mwa…
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ikieleza kuhusu matarajio ya hali mbaya ya hewa…
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata popote alipo, mfanyabiashara maarufu nchini, Pravinchandra Chavda (75)…
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola, amesema alikuwa amepanga huu uwe msimu wake wa mwisho na timu hiyo, lakini ameamua…