Mahakama yampiga ‘stop’ mke wa Sumaye
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imemsimamisha Esther Fredrick, mke wa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Fredrick Sumaye kutekeleza tuzo…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imemsimamisha Esther Fredrick, mke wa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Fredrick Sumaye kutekeleza tuzo…
Dodoma. Wakati Mkutano wa 29 wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) ukiendelea mjini Baku, Azerbaijan, taasisi isiyo ya kiserikali ya Elico…
Rungwe. Juhudi zinazoendelea kufanywa na taasisi za fedha nchini kupitia huduma za kibenki zilizobuniwa mahsusi kwa wakulima na wafugaji, ikiwemo…
Dar es Salaam. Zaidi ya wagonjwa 600 wanahitaji kupata huduma ya upandikizaji wa ini katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),…
Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya haki za binadamu huko Palestina amesema kuwa utekelezaji na kushikamana nchi…
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amethibitisha kwamba hali ya timu yake ni tete na ikiwa watapoteza mchezo ujao rasmi…
Dar es Salaam. Hakuna mwaka Miss Tz iliotesha mastaa kama 2006. Baada ya hapo haikuwa Miss Tz tena. Bali zilikuwa…
Dar es Salaam. Kampuni, taasisi na wadau nchini wamekumbushwa kuwa na desturi ya kurudisha kwa jamii, ili kurejesha tabasamu kwa…
Dar es Salaam. Katika kila uchaguzi, sauti ya mwananchi ni msingi wa maamuzi ya kitaifa na mustakabali wa kizazi kijacho.…
Dar es Salaam. Ingawa tukio la kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo limeacha maumivu, wanazuoni wamesema ni somo kwa Taifa…
Dar es Salaam. Alphard ‘brandi nyuu’. Hapo hamna hamna basi uwe na ‘twente’ milioni. Ili kumiliki mkoko huu wa vinasaba…
Dar es Salaam. Mgombea wa Uenyekiti wa serikali ya mtaa kwa Tumbi Kata ya Tandale kupitia Chama cha Tanzania Labour…
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Heshima ya Uongozi na Chuo Kikuu…
Katika siku ya 416 ya vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni unaendeleza mashambulizi ya kinyama na mauaji…
Mshauri mwandamizii wa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Wamarekani hawajapata mafanikio licha ya…
Dar es Salaam. Mgonjwa mmoja aliyekuwa amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi, amenusurika kuchomwa moto (kwa mujibu wa tamaduni za…
Moshi. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, imemhukumu Sifael Kivuyo kutumikia kifungo cha miaka 18 jela kwa kosa la kumuua bila…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuanza kutumiwa mashinepewa (centrifuges) mpya na za kisasa ni jibu…
Dar es Salaam. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), imeeleza kuwa itaanza upandikizaji wa ini ifikapo mwaka 2025. Hatua hiyo…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mkataba wa ushirikiano wa kimkakati na mpana kati ya nchi yake…
Jumuiya 11 zisizo za kiserikali (NGO’s) nchini Ufaransa zimeitaka serikali ya nchi hiyo itekeleze agizo la Mahakama ya Kimataifa ya…
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemhimiza mbunge wa Florida ambaye alisherehekea mauaji ya raia wa Marekani yaliyofanywa na jeshi…
Tuanze na kisa kilichotokea nchini Marekani mwaka jana. Mwanandoa mmoja alimtoa roho mwenzie kisa mitandao ya kijamii na tamaa. Wanandoa…
Malezi ya mtoto wa kiume ni safari inayohitaji uvumilivu, upendo na ushirikiano wa karibu kati ya wazazi. Na tunaambiwa ili…
London,England. Maisha huenda yakawa magumu kwa Manchester City na Newcastle United katika Ligi Kuu England (EPL) kwa siku za usoni…
Ubunifu ni uwezo wa kufikiri, kutafuta majibu, au kutatua changamoto kwa namna isiyotarajiwa. Unamsaidia mtu kupambana na changamoto zake kwa…
Msemaji wa luteka ya kijeshi ya kambi ya Quds ya Jeshi la Nchi Kavu la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inakaribisha hatua yoyote ya kuuondolea kinga…
Freeman Mbowe, kiongozi wa chama cha upinzani cha Chadema nchini Tanzania jana aliachiliwa huru kwa dhamana baada ya kukamatwa siku…
Umoja wa Ulaya (EU) umemuondoa balozi wake aliyekuweko Niamey, mji mkuu wa Niger kutokana na kushadidi mvutano na uongozi mpya…
Serikali ya Sudan ilitangaza jana Jumamosi kuwa jeshi la nchi hiyo SAF limeuteka tena mji wa Singa ambao ni makao…
Nashindwa hata nianzie wapi, ninakosa raha kila inapoitwa leo kwani wenzangu walikuwa wakinong’ona kuwa mtoto wangu amefanana na mfanyakazi mwenzangu…
Leo Jumapili, Novemba 2 4, 2024 ni mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mkoa wa Morogoro. Katika mahafali…
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limewakamata na kuwahoji watuhumiwa wawili kwa kosa la kuharibu kwa kuvunja vioo viwili vya…
Dar es Salaam. Wiki chache zilizopita Rais Mama Samia Suluhu Hassan alimtunza mtunzi na muimbaji wa bendi ya Atomic Jazz…
Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehimiza kufunguliwa mashtaka maafisa wote wa kisiasa na kijeshi wa…
Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Kiongozi wa juu wa kidini na Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq amelaani…
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameishutumu Marekani kwa kuongeza mivutano na uchokozi na kueleza kwamba, amesema rasi ya…
Waziri Mkuu wa Ireland amesisitiza kuwa, nchi yake itatekeleza amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusu kukamatwa Waziri…
Wafuasi wa wananchi na wanachuo wa Palestina katika baadhi ya nchi wametoa wito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni…
Kiongozi wa upinzani Msumbiji amesema atakubali mwito wa rais wa mazungumzo baada ya ghasia kali za baada ya uchaguzi kwa…
Leo ni Jumapili 22 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria ambayo inasadifiana na 24 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo…
Matukio ya hivi karibuni katika vita vya Ukraine, yaani uamuzi wa nchi za Magharibi wa kutoa ruhusa kwa Ukraine kuishambulia…
Dar es Salaam. Zikiwa zimebakia siku tatu kuhitimishwa kwa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, viongozi wa vyama vya…
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amewataka viongozi wa dini ya Kiislamu kuwa karibu na jamii…
Mbeya. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabuni amewataka viongozi wa dini ya Kikristo nchini, kuungana na kuanzisha programu…
Moshi. Mkazi wa Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Florence Malya (54), amefariki dunia baada ya…
Dar es Salaam. Hospitali ya Aga Khan leo imeadhimisha siku ya watoto njiti ikiweka msisitizo wa kuwepo juhudi za pamoja…
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk Irene Isaka amesema mfuko huo…
Dar es Salaam. Ukosefu wa elimu kuhusu magonjwa ya mishipa ya fahamu, ukiwemo wa kifafa, unatajwa kama moja ya sababu…