PUMZI YA MOTO: Yanga, Al Hilal ni mechi ya ‘wakimbizi’
Kesho , Jumanne ya Novemba 26, Yanga itaikaribisha Al Hilal kutoka Sudan katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi…
Mizozo ya kijeshi duniani
Kesho , Jumanne ya Novemba 26, Yanga itaikaribisha Al Hilal kutoka Sudan katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi…
Dar es Salaam. Dunia ikianza maadhimisho ya siku ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia (GBV) Chama cha Wanahabari…
Tarime. Miili ya watu wanane kati ya tisa wa familia moja waliofariki dunia kwa kusombwa na maji imeopolewa, huku jitihada…
Arusha. Mtoto wa miaka 16 (jina limehifadhiwa) kutoka wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha, amenusurika kifo baada ya kufanyiwa ukatili wa…
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemkuta na kesi ya kujibu raia wa Burundi Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu…
Leo tarehe Novemba 25 ni Siku ya Kimataifa ya Kupiga Marufuku Ukatili dhidi ya Wanawake. Hii ni katika hali ambayo…
Songwe. Wakati Jeshi la Polisi mkoani hapa likimaliza mahojiano na Mdude Nyagali, mwanaharakati huyo amepelekwa tena mikononi mwa jeshi hilo…
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa wito wa kuhukumiwa kifo Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ambaye…
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine tena wameshambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto…
Polisi katika mji wa Lilongwe nchini Malawi leo Jumatatu wametumia gesi ya kutoa machozi kutawanya umati wa waandamanaji waliotaka kujiuzulu…
Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa Iran haina tatizo lolote katika uga wa kuuza na kusafirisha mafuta nje ya…
Mkurugenzi wa hospitali ya Gaza ambayo imezingirwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa wito kwa jamii ya…
Biharamulo. Yalikuwa mauaji ya kikatili, ndio maelezo pekee unaweza kuyatumia kuelezea kitendo kilichofanywa na Pius Maliseri, cha kumghilibu mtoto Suzana…
Dar es Salaam. Watu saba wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukutwa na kilo 2,207.56 za aina mbalimbali…
Israel imefikia katika hali ya mkwamo, na Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kuunga mkono mapambano halali na ya haki dhidi ya…
Dodoma. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imewataka watu wanaomba mikopo kidijitali, kusoma maelekezo vizuri ili kuepuka kuruhusu kampuni…
Watu tisa wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba walizokuwa wakiishi kusombwa na maji baada ya mto uliopo jirani…
Watu nane wa familia moja wamefariki dunia na mmoja hajulikani alipo baada ya nyumba walizokuwa wakiishi kusombwa na maji baada ya…
Marekani. Novemba 22, 2024 msanii wa rap kutokea nchini Marekani Kendrick Lamar aliwashtukiza mashabiki wake kwa kuachia albamu yake ya…
Dar es Salaam. Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), kupitia Kamati ya Nidhamu, limechukua hatua kali dhidi ya wapinzani wa…
Dar es Salaam. Bongo Fleva na Bongo Movie ni tasnia zinazofanya kazi kwa kushirikiana nchini, kutokana na muingiliano wa baadhi…
Juzi Ijumaa, timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ ilifahamu kundi na wapinzani wake katika fainali za mataifa…
Dar es Salaam. Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema mashabiki wa timu hiyo watarajie mchezo mzuri wa kwanza wa…
Ubalozi wa Iran mjini Abu Dhabi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umepinga madai ya kuhusika kwa namna yoyote…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa kijamii wa X kwa mnasaba wa…
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulizi makubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel, ikilenga maeneo…
Naibu Rais wa Kenya aliyeng’olewa madarakani, Rigathi Gachagua, ameishambulia serikari ya bosi wake wa zamani, Rais William Ruto, akisema imeziba…
Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, amesema kwamba kombora la nchi hiyo la “Oreshnik” linaweza kusababisha uharibifu mkubwa…
Kiongozi wa ngazi za juu wa harakati ya Hamas amesema: “Utawala ghasiibu wa Israel una dhana kwamba unaweza kufikia malengo…
Msimu wa kumi wa Kombe la Shirikisho la CRDB upo kwenye hatua ya awali kabisa na tayari droo ya raundi…
Msanii anayefanya vizuri kwenye Bongo Movie na ambaye pia ni video vixen, Caren Simba amefunguka madai ya kuhusishwa kimapenzi na nyota…
Dar es Salaam. Yanga na Simba ndiyo wawakilishi pekee kutoka Tanzania waliosalia kwenye michuano ya Caf ngazi ya klabu msimu…
Nairobi. Naibu Rais aliyetimuliwa madarakani nchini Kenya, Rigathi Gachagua amedokeza kurejea kwa kishindo kwenye siasa Januari 2025, akisema msuguano wake…
Licha ya uungaji mkono wa pande zote wa Ikulu ya White House kwa Tel Aviv, utawala wa Kizayuni hauna uwezo…
Abbas Araghchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anatazamia kuelekea nchini Ureno kushiriki katika mkutano wa 10 wa kimataifa…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Venezuela amepongeza misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na uingiliaji kati…
Ubalozi wa Russia mjini Tehran umekosoa hatua ya nchi za Magharibi dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya Wakala…
Wakili wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda amesema kuwa, inaonekana mamlaka za Kenya zilihusika pakubwa katika kukamatwa huko Nairobi Kizza…
Uchunguzi wa maoni wa karibuni uliofanywa na utawala wa Israel umeonyesha kuwa zaidi ya theluthi moja ya vijana Wayahudi wa…
Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya Syria ametaka kuhitimishwa vita katika Ukanda wa…
Moshi. Uchaguzi wa serikali za mitaa na kukamatwa kwa viongozi wa vyama vya upinzani kumewaibua viongozi wa dini, huku Askofu…
Kibaha. Askari Polisi, Austin Kabisana wa Mlandizi, mkoani Pwani amefariki dunia baada ya kugogwa na chombo cha moto wakati akitoka…
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja mambo sita aliyopitia katika safari yake ya kisiasa, akisema yamemjenga kiuongozi katika…
Dar es Salaam. Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Tabora United dhidi ya Singida Black Stars uliokuwa uchezwe leo…
Songea. Polisi mkoani Ruvuma wanawashikilia watu wawili akiwamo mfanyabiashara wa dawa za mifugo, Nickson James (29) mkazi wa Mtaa wa…
Dar es Salaam. Wakati kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiingia siku ya tano leo, vigogo wa vyama mbalimbali…
Unguja. Wakati ripoti ya sensa ya misitu ya mwaka 2013 ikionyesha kiwango cha ukataji wa mikoko na upotevu wa misitu Zanzibar…
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imemsimamisha Esther Fredrick, mke wa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Fredrick Sumaye kutekeleza tuzo…
Dodoma. Wakati Mkutano wa 29 wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) ukiendelea mjini Baku, Azerbaijan, taasisi isiyo ya kiserikali ya Elico…
Rungwe. Juhudi zinazoendelea kufanywa na taasisi za fedha nchini kupitia huduma za kibenki zilizobuniwa mahsusi kwa wakulima na wafugaji, ikiwemo…