Upigaji kura waendelea katikati ya malalamiko ya majina kutoonekana, kutopangiliwa
Dar es Salaam. Changamoto ya wananchi kutoyaona majina yao imeendelea kujitokea katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam, hatua inayosababisha…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Changamoto ya wananchi kutoyaona majina yao imeendelea kujitokea katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam, hatua inayosababisha…
Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge…
Shinyanga. Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Alexius Kagunze, amesema baadhi ya vituo vya wazi ambavyo haviko kwenye…
Musoma. Wakazi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara wanalalamikia majina ya wapiga kura yaliyobandikwa kwenye baadhi ya vituo kutosomeka vizuri.…
Mbeya. Pamoja na mchakato wa uchaguzi kuendelea kwa amani jijini hapa, baadhi ya wapiga kura wameeleza changamoto ya majina kutopangwa…
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile, ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 27, 2024,…
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO), Dk Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza kushtushwa…
Dodoma. Watu wasiojua kusoma na kuandika wameruhusiwa kusaidiwa kupiga kura na ndugu zao wanaowaamini, huku wazee na watu wenye ulemavu…
Arusha. Wakati wananchi wakijitokeza kupiga kura katika maeneo mbalimbali kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, baadhi ya shughuli ikiwemo wafanyabiashara…
Wapendwa mafyatu na mashabiki wangu, jongea ugani tudurusu na kujadili hii ishu kwa utuo na uzuri. Keibuni sana waghoshi na…
Tumekwisha kuifikia siku tuliyoisubiri kwa hamu toka siku nyingi zilizopita. Siku ya kuwachagua viongozi wetu wa mtaani watakaoiwakilisha Serikali kuu…
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kutokana na kifo cha Dk Faustine Ndugulile, Mbunge wa…
Mirerani. Wakazi wa mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wamejitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa Serikali za…
Dar/Mikoani. Watanzania katika maeneo mbalimbali nchini wamejitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kufanya uamuzi kwa kuwachagua viongozi wa mitaa, vijiji…
Maandamano yamefanyika katika miji tofauti ya Uhispania kuunga mkono Palestina na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni. Maelfu ya watu…
Watanzania wapo katika majonzi ya kuomboleza maafa yaliyotokea Kariakoo, Dar es Salaam, ya kuporomoka kwa jengo na kuua watu zaidi…
Makubaliano ya kusitisha vita nchini Lebanon yamenza kutelezwa mapema leo saa kumi alfajiri kwa saa za Beirut. Hatua hiyo inamaliza…
Dar es Salaam. Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 27, 2024 nchini India…
Leo nchi yetu inahitimisha safari ya siku 104 tangu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed…
Jumapili, Novemba 17, 2024, ukumbi wa Simba, Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul…
Dar es Salaam. Usiri uliojengeka miongoni mwa wazazi, umetajwa kuwa sababu ya kuendelea kuwapo kwa vitendo vya ukeketaji katika Wilaya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametilia mkazo wajibu wa kushirikiana jamii zote duniani katika kuhakikisha utawala wa Kizayuni…
Waziri wa Fedha wa Israel anayejulikana kwa itikadi kali ametoa wito wa kukaliwa kwa mabavu eneo la Ukanda wa Gaza…
Kamishna wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, ametoa wito wa kutekelezwa uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa askari usalama wa Msumbiji vimewauwa watoto wasiopungua 10…
Ripoti ya waangalizi wa kimataifa iliyotolewa jana Jumanne imesema kwamba mizozo, machafuko na majanga kote barani Afrika yameongeza mara tatu…
Mji wa El Fasher, magharibi mwa Sudan, umeshuhudia mapigano kati ya jeshi na Vikosi vya kundi la Msaada wa Haraka…
Baada ya shambulio la hivi majuzi la kigaidi dhidi ya Mashia wa Parachinar katika Wilaya ya Kurram nchini Pakistani, mamlaka…
Leo ni Jumatano tarehe 25 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 27 Novemba 2024 Milaadia. Tarehe 27…
Moshi. Timu inayochunguza tukio la wanafunzi 15 wa Shule ya Sekondari Sanya Day, Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro waliokamatwa…
Dodoma. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetahadharisha mambo matatu kwa benki za biashara na Watanzania wakati wa shughuli ya uondoaji…
Matokeo ya kufungwa mabao 2-0 nyumbani kutoka kwa Al Hilal kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yameendeleza mkosi ambao Yanga imekuwa…
Arusha. Polisi mkoani Arusha wameanza msako wa kuwatafuta watuhumiwa waliohusika na tukio la kumshambulia na kumjeruhi mtoto wa kike wa…
Dar es Salaam. Baada ya pilikapilika za kampeni kesho Watanzania watafanya uamuzi wa kuwachagua viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji…
Dar es Salaam. Wakati saa chache zimesalia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, wanahakati wa Kituo cha Taarifa na Maarifa…
Dar es Salaam. Wakati kesho Jumatano Novemba 27, 2024 Watanzania wakitarajiwa kupiga kura kuwachagua viongozi wa Serikali za mitaa, vijiji…
Yanga imeanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikifungwa mabao 2-0 nyumbani dhidi ya Al Hilal kwenye…
Unguja. Licha ya kuwa na kituo cha afya kilichojengwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), wajawazito wa visiwa vya…
Dar es Salaam. Chapa ya kampuni ya huduma za simu ya Tigo Tanzania imebadilishwa na sasa itakujulikana kwaa jina la…
Songea. Mkuu wa Programu wa Wizara ya Afya, Dk Catherine Joachim amesema takwimu zinaonesha Mkoa wa Ruvuma ni kinara katika…
Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja ameachiwa kwa dhamana. Mgonja alikamatwa na…
Katika mkutano wa 29 wa mwaka wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Silaha za Kemikali (CWC) huko The Hague, nchi…
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasisitiza…
Dar es Salaam. Msajili wa Jumuiya za Kidini na Vyama vya Kijamii, Kabidhi Wasihi Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG),…
Mwanaume mmoja raia wa Russia aliyepatikana na hatia mapema mwaka huu kwa kuchoma moto nakala ya kitabu kitakatifu cha Waislamu,…
Tarime. Wakati Serikali ikijitayarisha kwa maziko ya watu wanane wa familia moja waliofariki dunia kwa kusombwa na maji wilayani Tarime,…
Kamanda wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini Iran amesema kuwa Majeshi ya Iran yameandaa jibu kali kwa shambulio…
Waziri wa Masuala ya Kiuchumi na Fedha wa Iran amesema kuongezeka kwa uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu katika mfumo mpya…
Afrika Kusini Jumatatu ilisisitiza wito wake wa kusitishwa mapigano mara moja huko Palestina na Lebanon na kuanzishwa kwa mchakato wa…
Dar es Saalam. Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya soka ya mpira wa miguu, Simba Sport Club, Muharami Sultani…