Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
Kocha JKT Queens aja na mikakati WPL
MICHEZO

Kocha JKT Queens aja na mikakati WPL

MUKSINIMarch 30, 2025

BAADA ya kukusanya pointi 38 na kukaa kileleni, Kocha wa JKT Queens, Esther Chabruma amesema wanaandaa mikakati ya kupata pointi…

Kiungo Yanga Princess aahidi makubwa
MICHEZO

Kiungo Yanga Princess aahidi makubwa

MUKSINIMarch 30, 2025

KIUNGO wa Yanga Princess, Lydia Akoth amesema kuonyeshwa upendo na mashabiki wa timu hiyo inampa deni kubwa la kuipambania kuhakikisha…

Vibali vyamweka nje beki Ceasiaa
MICHEZO

Vibali vyamweka nje beki Ceasiaa

MUKSINIMarch 30, 2025

BEKI wa kati wa Ceasiaa Queens, Anita Adongo amesema yuko nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili kwa changamoto ya…

Sowah: Msimu huu navunja rekodi yangu
MICHEZO

Sowah: Msimu huu navunja rekodi yangu

MUKSINIMarch 30, 2025

MSHAMBULIAJI machachari wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah mwenye mabao saba kwenye michezo saba ya ligi, anaamini kuwa msimu huu…

CEO Mbeya City atuliza presha
MICHEZO

CEO Mbeya City atuliza presha

MUKSINIMarch 30, 2025

OFISA Mtendaji Mkuu wa Mbeya City (CEO), Ally Nnunduma amesema licha ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo,…

Matata atimka Transit Camp
MICHEZO

Matata atimka Transit Camp

MUKSINIMarch 30, 2025

BAADA ya kuiongoza Transit Camp katika michezo saba tu ya Ligi ya Championship, aliyekuwa kocha wa kikosi hicho, Stephen Matata…

Julio ashtukia jambo Kiluvya United
MICHEZO

Julio ashtukia jambo Kiluvya United

MUKSINIMarch 30, 2025

KOCHA mpya wa Kiluvya United, Julio Elieza amesema kwa nafasi iliyopo timu hiyo kwa sasa bado haiwapi kiburi cha kuamini…

Timu hizi ukilenga tu imo
MICHEZO

Timu hizi ukilenga tu imo

MUKSINIMarch 30, 2025

WAKATI ikibakia michezo mitano kwa ajili ya kumalizia msimu huu wa 2024-2025, timu ya African Sports imekuwa kinara wa kuruhusu…

Mwalwisi akomalia Top Four Mbeya Kwanza
MICHEZO

Mwalwisi akomalia Top Four Mbeya Kwanza

MUKSINIMarch 30, 2025

KOCHA wa Mbeya Kwanza, Maka Mwalwisi amesema kikosi hicho bado kina nafasi ya kumaliza nafasi nne za juu ‘Top Four’…

SWAHILI NEWS

Umoja wa Mataifa waonya juu ya uhaba mkubwa wa matibabu huku watu 1,600 wakifariki katika tetemeko la ardhi Myanmar

MUKSINIMarch 30, 2025

Huku waokoaji wakitafuta manusura, Umoja wa Mataifa umesema ukosefu mkubwa wa vifaa vya matibabu unatatiza juhudi za kutoa misaada katika…

Southampton ya England yamuwinda Miroshi
MICHEZO

Southampton ya England yamuwinda Miroshi

MUKSINIMarch 30, 2025

INAELEZWA Klabu ya Southampton ya Ligi Kuu England imevutiwa na uwezo wa Mtanzania Novatus Miroshi anayekipiga Goztepe ya Uturuki na…

Evalisto asikilizia dili nono Misri
MICHEZO

Evalisto asikilizia dili nono Misri

MUKSINIMarch 30, 2025

MSHAMBULIAJI wa Makadi FC, Oscar Evalisto amesema mkataba wake na klabu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri umemalizika na…

Beki Mtanzania anawaburuza tu Mexico
MICHEZO

Beki Mtanzania anawaburuza tu Mexico

MUKSINIMarch 30, 2025

BEKI wa kati wa FC Juarez, Julietha Singano inayoshiriki Ligi ya Wanawake Mexico anazidi kung’ara akiingia kwenye kikosi bora cha…

Masaka kukaa benchi Brighton, tatizo ni hili
MICHEZO

Masaka kukaa benchi Brighton, tatizo ni hili

MUKSINIMarch 30, 2025

MECHI mbili za mwisho ilizocheza Brighton baada ya mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masaka kutoka kwenye majeraha ameendelea kusalia kwenye benchi.…

MIZOZO TU

Kamanda: Iran ina uwezo wa kupiga ngome za adui popote pale

MUKSINIMarch 30, 2025

Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Admeli Alireza Tangsiri amesema kwa mara…

MIZOZO TU

Hizbullah: Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa kadhia ya Palestina

MUKSINIMarch 30, 2025

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi muhimu ya Iran katika kuunga mkono kadhia ya Palestina ya…

MIZOZO TU

Kuongezeka hatua za Trump dhidi ya vyuo vikuu na wanafunzi wanaowatetea Wapalestina

MUKSINIMarch 30, 2025

Katika muhula wake wa pili wa urais, Donald Trump, rais mpya wa Marekani kwa mara nyingine tena ameamua kutumia mtindo…

MIZOZO TU

Araqchi: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Yemen yanadhihirisha namna nchi hiyo inavyoshiriki katika uvunjaji wa sheria wa Israel

MUKSINIMarch 30, 2025

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani mashambulizi ya kijeshi ya mara kwa mara ya Marekani katika maeneo mbalimbali…

WANANCHI NEWS

Barca hatarini kunyang’anywa pointi, chanzo hiki hapa

MUKSINIMarch 30, 2025

Barcelona ipo kwenye hatari ya kupokwa pointi baada ya sasa kufanyiwa uchunguzi juu ya kucheza mchezaji asiyestahili kwenye mechi ya…

WANANCHI NEWS

Chanzo ulinzi mzito kambi ya Simba Misri hii hapa

MUKSINIMarch 30, 2025

Kama alivyosema Kocha wa Simba, Fadlu Davids kwamba watahakikisha wanaimaliza mechi dhidi ya Al Masry hukohuko Misri, ndicho walichoamua kukifanya…

WANANCHI NEWS

Mbinu za kuwaandaa watoto kifedha, kiuchumi

MUKSINIMarch 30, 2025

Kumfundisha mtoto kuhusu uchumi wa familia ni njia bora ya kumuandaa kwa maisha ya baadaye. Mtoto anayepata elimu ya kifedha…

WANANCHI NEWS

Makosa haya yanavyobomoa ndoa

MUKSINIMarch 30, 2025

Hakuna anayeingia katika ndoa akiwa na nia ya kuiharibu. Hata hivyo, ni rahisi kuharibu ndoa kuliko kuijenga. Wengi hawajui kuwa…

MIZOZO TU

Wanachuo 300 wapokonywa viza US kwa kuiunga mkono Palestina

MUKSINIMarch 30, 2025

Marekani imebatilisha viza za wanafunzi zaidi ya 300 wa kigeni kwa kuratibu na kushiriki katika maandamano ya kuwanga mkono na…

SWAHILI NEWS

Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Real Madrid sasa yamlenga nahodha wa Man United Bruno Fernandes kwa £90m

MUKSINIMarch 30, 2025

Real Madrid wanapanga kumnunua kiungo wa kati wa Manchester United Bruno Fernandes kwa pauni milioni 90, Manchester City wanavutiwa na…

MIZOZO TU

Baadhi ya Waislamu waswali Iddi leo, wengine kuadhimisha sikukuu hii kesho

MUKSINIMarch 30, 2025

Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu…

WANANCHI NEWS

Tabia ya kuazima-azima inakuondolea utu mwanamke

MUKSINIMarch 30, 2025

Wakati nakua ilikuwa kawaida kusikia watu wazima wakiazimana nguo, viatu na hata mapambo kwa maana ya hereni, cheni, pete na…

WANANCHI NEWS

Hii ndio siri ya usafi kwa wanandoa

MUKSINIMarch 30, 2025

Leo tutaongelea suala nyeti na tata kidogo ambalo wengi huwa hawaliongelei au wasingependa kuliongelea. Hata hivyo, kama wahusika wataliongelea na…

WANANCHI NEWS

Familia zinapokuwa chanzo watoto kufanyiwa ukatili, kupotoka kimaadili

MUKSINIMarch 30, 2025

Mitindo isiyofaa ya maisha ya wazazi na walezi pamoja na kutofuatilia mienendo ya watoto wao,  imetajwa kuwa chanzo cha ukatili…

WANANCHI NEWS

Tuwafundishe watoto kuelewa hisia za wenzao

MUKSINIMarch 30, 2025

Mama Hadija ana wanawe watatu wanaofuatana.  Wa kwanza, Hadija, ana miaka nane kaingia darasa la tatu. Luqman, miaka sita ndio…

WANANCHI NEWS

Uanaume ni zaidi ya kugharimikia sikukuu

MUKSINIMarch 30, 2025

Sikukuu ndio hizo zimefika; Eid na Pasaka. Ni nyakati za furaha, kusherehekea na kuonyesha upendo kwa familia. Watoto watavaa nguo…

MIZOZO TU

China: Tuko tayari kustawisha uhusiano wa kijeshi na Iran na Russia

MUKSINIMarch 30, 2025

Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amezungumzia mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyofanywa na majeshi ya Wanamaji ya nchi…

MIZOZO TU

HAMAS: Tumekuwa na mazungumzo ya mfululizo na wapatanishi kwa ajili ya kusitishwa vita Ghaza

MUKSINIMarch 30, 2025

Bassem Naim, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amethibitiha kuwa katika siku…

MIZOZO TU

Guinea yatoa msamaha uliobua utata kwa kiongozi wa zamani wa kijeshi Dadis Camara

MUKSINIMarch 30, 2025

Katika uamuzi wa kutatanisha, kiongozi wa utawala wa kijeshi wa Guinea, Jenerali Mamadi Doumbouya, ametoa msamaha wa rais kwa mtawala…

MIZOZO TU

Mtaalamu: Badala ya kusimamia haki, ICC inatumikia madola yenye nguvu

MUKSINIMarch 30, 2025

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepoteza uhalali wake kwa kutumikia maslahi ya kisiasa ya madola fulani. Hayo yameelezwa na…

MIZOZO TU

Jumapili, tarehe 30 Machi, 2025

MUKSINIMarch 30, 2025

Leo ni Jumapili tarehe 29 Ramadhani 1446 Hijria sawa na 30 Machi 2025.

WANANCHI NEWS

Khamis achaguliwa mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, amrithi Mbatia

MUKSINIMarch 29, 2025

Dodoma. Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi umemchagua Haji Khamis kuwa mwenyekiti wa chama hicho akichukua nafasi ya James Mbatia…

WANANCHI NEWS

​​​​​​​Kariakoo yafurika kuelekea Sikukuu ya Eid, abaya zapanda bei

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Siku chache kabla ya waumini wa dini ya Kiislamu kusherehekea sikukuu ya Eid, mitaa ya Kariakoo imefurika…

WANANCHI NEWS

Moshi kukosa maji kwa saa kadhaa, matengenezo ya bomba yanaendelea

MUKSINIMarch 29, 2025

Moshi. Kufuatia hitilafu ya bomba la maji katika Barabara Kuu ya Moshi – Arusha, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi…

WANANCHI NEWS

Vyama vya ushirika Shinyanga vyashauriwa kutumia uwekezaji wa kidigitali

MUKSINIMarch 29, 2025

Shinyanga. Vyama vya ushirika mkoani Shinyanga vimetakiwa kujikita katika mifumo ya uwekezaji wa kidigitali na kujiendesha kibiashara badala ya kubaki…

WANANCHI NEWS

Zimamoto Moro wabaini chanzo moto ulioteketeza vibanda vya wafanyabiashara

MUKSINIMarch 29, 2025

Morogoro. Uchunguzi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro umebaini kwamba chanzo cha moto ulioteketeza vibanda vya wafanyabiashara…

WANANCHI NEWS

Makalla, Chadema sasa ni mwendo wa kushambuliana

MUKSINIMarch 29, 2025

Iringa. Kinachoendelea kwa sasa baina ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla na…

WANANCHI NEWS

Tarura yabuni mkakati kuokoa gharama ujenzi wa barabara, madaraja

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Kukosekana kwa fedha za kutosha kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja kuliifanya Wakala wa Barabara…

WANANCHI NEWS

Naibu Msajili aweka msimamo, uchaguzi lazima ufanyike

MUKSINIMarch 29, 2025

Dodoma. Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya ‘No Reforms No Election’ (hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi), Ofisi ya Msajili…

WANANCHI NEWS

ACT Wazalendo sasa kupigania mageuzi mifumo ya uchaguzi

MUKSINIMarch 29, 2025

Lindi. Vuguvugu la mageuzi ya mifumo ya uchaguzi ikiwemo sheria na kanuni za uendeshaji limezidi kupamba moto. Tayari, Chama Cha…

WANANCHI NEWS

Chadema yalaani utekaji, kuratibu maandamano ya amani, CCM waalikwa

MUKSINIMarch 29, 2025

Shinyanga. Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti, Jackson Mnyawami amelaani vitendo vya utekaji wa viongozi…

WANANCHI NEWS

Matumizi ya fedha za kigeni nchini sasa ni kaa la moto

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za mwaka 2025 ambazo…

WANANCHI NEWS

​​​​​​​Kariakoo yafurika kuelekea ikukuu ya Eid, abaya zapanda bei

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Siku chache kabla ya waumini wa dini ya Kiislamu kusherehekea sikukuu ya Eid, mitaa ya Kariakoo imefurika…

WANANCHI NEWS

Familia ya kada wa CCM aliyetekwa ‘yamwangukia’ Rais Samia

MUKSINIMarch 29, 2025

Mwanza. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza likieleza kutokuwa na taarifa zozote kuhusu alipo mjumbe wa mkutano mkuu wa…

WANANCHI NEWS

Lissu: Matatizo ya Watanzania yana uhusiano na mfumo mbovu wa uchaguzi

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema matatizo mengi yanayowakabili Watanzania yana uhusiano…

Geay mzigoni Yangzhou Half Marathon kesho Jumapili
MICHEZO

Geay mzigoni Yangzhou Half Marathon kesho Jumapili

MUKSINIMarch 29, 2025

Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay amesema amejiandaa kushinda mbio za Yangzhou Half Marathoni zitakazofanyika kesho Jumapili Machi 30,…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us