Tetemeko la ardhi laua 1,000 Myanmar, maelfu wajeruhiwa
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha 7.7 lililopiga Myanmar limeleta maafa makubwa, huku idadi ya vifo ikiripotiwa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha 7.7 lililopiga Myanmar limeleta maafa makubwa, huku idadi ya vifo ikiripotiwa…
Tetemeko hilo la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 lilipiga pia katika nchi jirani za China na Thailand na kusababisha mascara…
”Huwa rahisi zaidi iwapo unapata usaidizi kutoka kwa timu nzima, kuanzia wachezaji hadi wafanyikazi”, anasema Ouattara
Dar es Salaam. Unaweza kumuita jitu la miraba minne, bonge la bwana au kibonge mwepesi kutokana na mwonekano wake. Mwili…
Wakati Nottingham Forest na Newcastle zikimtaka Nunez, Isak wa Newcastele anasakwa na Liverpool
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema: “Utawala wa Kizayuni wa Israel ni mashine ya mauaji ya…
Wananchi wa Yemen jana walijitokeza kwa mamilioni katika maandamano ya kuunga mkono kadhia ya Palestina ikiwa ni katika Ijumaa ya…
Waziri wa Fedha wa Russia amesema kuwa nchi wanachama wa kundi la BRICS zinachunguza hatua kadhaa za ubunifu wa kifedha…
Tovuti ya Axios imeonya kuhusu kuendelea kukamatwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoiunga mkono na kuitetea Palestina nchini Marekani.
Kesi inayoendelea kwa miezi kadhaa ya rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy kuhusu madai ya kufadhili kampeni yake ya…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa, ghasia na njaa vinatishia maisha ya watoto wa Sudan…
Huku maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yakifanyika katika nchi mbalimbali kwa ajili ya kuunga mkono Palestina na kulaani…
Leo ni Jumamosi tarehe 28 Ramadhani 1446 Hijria sawa na tarehe 29 Machi mwaka 2025 Milaadia.
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi…
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amewataka wanafunzi katika utafutaji elimu na maisha, wakumbuke kusimamia…
Dar/Mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari, huku wananchi wanaoishi maeneo hatarishi wakiaswa kuhama. Wilayani Ilala mkoani…
Morogoro. Watuhumiwa wanne wa wizi wa mafuta aina ya diesel yaliyokuwa yakisafirishwa kutoka Dar es Salaam kwenda Lubumbashi nchini Jamhuri…
Dar es Salaam. Kama una shida ya moyo na umepandikizwa betri ya moyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeshauri matumizi…
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema Dereva wa Pikipiki (Bodaboda), Mhochi Herman (29), inadaiwa ameuawa kwa kushambuliwa sehemu…
Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameonya na kukemea chokochoko za atakayeingilia mchakato wa kumpata mkandarasi wa kujenga…
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Kisutu, imemhukumu mfanyabiashara Edson Beyanga(37), kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na…
Mafinga. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewataka watiania ubunge na udiwani kwa tiketi ya Chadema,…
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwasilisha ripoti ya ukaguzi…
Kishapu. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewavaa wabunge wa viti maalumu akiwataka waache kuwahonga wanawake…
Utawala wa Trump siku ya Ijumaa, Machi 28, umeiomba Mahakama ya Juu kuondoa marufuku ya jaji wa shirikisho ya kuwafukuza…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza Ijumaa, Machi 28, kushuka kwa asilimia 40 ya…
Arusha. Wanawake na vijana wanaojishughulisha na uuzaji wa bidhaa maeneo ya mipakani, wametakiwa kuzalisha bidhaa zenye ubora ili waweze kushiriki…
Serikali ya Rwanda, imepiga marufuku mashirika yote ya ndani na kimataifa yasiyokuwa ya kiserikali kushirikiana na taasisi za Ubelgiji, baada…
Washiriki katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds wamesisitiza udharura wa kukabiliana vikali na uhasama wa Marekani…
Morogoro. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme…
Myanmar. Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya ukubwa wa 7.7 katika kipimo cha richter limetokea Myanmar leo tarehe 28 Machi…
Dar es Salaam. Benki ya NCBA Tanzania imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuimarisha ujumuishaji wa kifedha na mahusiano ya kijamii…
Mamia ya watu wamehofiwa kupoteza maisha nchini Myanmar na Thailand, huku wengine wakikwama kwenye vifusi baada ya jengo la orofa…
YANGA inacheza na Songea United Jumamosi hii saa 10 jioni kwenye mechi ya FA. Lakini Kocha Hamdi Miloud kuna kitu…
KOCHA wa zamani Simba, Abdelhak Benchikha, ambaye yupo nchini Misri akiifundisha Modern Sport,amewapa Simba mbinu tatu za haraka za kuwakabili…
Unguja. Katika kuendeleza misitu na kukuza utalii, Zanzibar imepiga hatua nyingine baada ya kusaini makubaliano ya kufanya uwindaji wa kitalii…
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, yupo Juba nchini Sudan Kusini, kujaribu kuwapatanisha viongozi wakuu wa nchi hiyo, baada…
LICHA ya kushindwa kubebwa na rekodi ya kupata matokeo mazuri mechi za ugenini Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Kally…
MAJERAHA yamekiweka rehani kibarua cha staa wa zamani wa Yanga, Yacouba Sogne baada ya upasuaji wa goti nchini Morocco kukamilika…
Unguja. Jeshi laPolisi Mkoa wa Mjini Magharibi limewataka wananchi kuitumia vyema sikukuu ya Idd el Fitr na isiwe chanzo cha…
KOCHA Mkuu wa Singida Big Stars (SBS), David Ouma amesema Azam FC na Tabora United zimeshika hatma ya timu hiyo…
Arusha. Mahakama ya Rufaa Tanzania imemwachia huru Alphonce Michael maarufu Rasi aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa, baada ya kutiwa hatiani kwa…
Mbeya. Wakulima wa zao la tumbaku, Wilaya ya kitumbaku Chunya Mkoa wa Mbeya wameibua hoja ya kutaka kujua zilipo Sh13…
BAADA ya jana kupigwa michezo mitatu ya Ligi ya Championship katika viwanja mbalimbali, leo mechi moja nyingine itapigwa kati ya…
Polisi waliweza kutumia Kishkwambia ama iPad kama ushahidi muhimu katika kesi ya watu watatu ambao walipanga kufanya mauaji
Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Shilingi ya Tanzania ilishuka thamani kwa asilimia 3.6. Lakini kuanzia Julai hadi Desemba 2024,…
SIMU ya upande wa pili ikakatwa. Nikabaki nimeduwaa nikiwaza. Taarifa ile sikuitarajia kabisa. Kama tukio hilo lingetokea wakati Mustafa hayupo,…
“UNA maana kwamba huyo mfungwa mko naye hadi sasa?”“Tuko naye.”“Kuna watu wameitambua picha yake wakidai kuwa amehusika katika tukio moja…
“WACHA we…!” “Nampa kila kitu anachotaka.” “Usiniambie…” “Ndio nakwambia shoga. Usione kimya, kimya kingi kina mshindo!” “Na kweli kina mshindo,…
ALIPOONDOKA Tegeta, Temba alielekea Segerea. Aliegesha gari nje ya gereza hilo akaelekea kwenye lango la kuingilia gerezani. Askari wa magereza…