Wadakwa wakidaiwa kusafirisha gramu 3,263 za dhahabu kwa njia ya magendo
Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa wakisafirisha kwa njia ya magendo, gramu 3,263.72…
Mizozo ya kijeshi duniani
Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa wakisafirisha kwa njia ya magendo, gramu 3,263.72…
Hanang. Mbunge wa Hanang mkoani Manyara, Samwel Hhayuma amesema wanasiasa wanaojipitisha kutaka kugombea nafasi hiyo wasisingizie kutumwa na wazee ila…
Dar es Salaam. Mtayarishaji wa muziki nchini Joachim Marunda ‘Master Jay’ amesema rekodi lebo nyingi za wasanii Bongo zinashindwa kudumu…
WINGA wa Ken Gold, Bernard Morrison amesema licha ya kurejea mazoezini na wenzake lakini bado hajawa fiti kucheza mechi akiomba…
Hanang. Mbunge wa Hanang mkoani Manyara, Samwel Hhayuma amesema wanasiasa wanaojipitisha kutaka kugombea nafasi hiyo wasisingizie kutumwa na wazee ila…
KIKOSI cha Coastal Union kinajiandaa na mchezo ujao wa Aprili 3, ugenini dhidi ya Kagera Sugar, huku ikiwa bado haiko…
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40), maarufu Dk Manguruwe, anayekabiliwa na kesi ya…
Dar es Salaam. Waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) walioondolewa kazini kutokana na kuwa na vyeti…
Morogoro. Uwepo wa mpango wa matumizi ya nishati safi ya kupikia, usafiri wa treni ya kisasa SGR pamoja na ujenzi…
Dar es Salaam. Ni wazi kuwa mkombozi wa wasanii wengi ambao hawapati usikivu kwa kiasi kikubwa, kwa sasa ni shoo…
Dar es Salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata Interindwa Kirumbi (67), maarufu mama Dangote…
Rais William Ruto wa Kenya amemkosoa hadharini aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi, akitaja kipindi chake cha uongozi kuwa “kisichofaa” katika…
Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta…
Dar es Salaam. Mwezi mmoja kabla ya kuanza kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa…
Kiongozi wa kijeshi nchini Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani, ameapishwa siku ya Jumatano, kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha mpito cha miaka…
Dar es Salaam. Kukosekana kwa mazingira rafiki ambayo yanaweza kuleta faida kwa mwekezaji imetajwa kuwa moja ya sababu inayofanya baadhi…
Mazoezi ya kiwango cha chini hutegemea zaidi mafuta, ufunguo wa kupoteza mafuta ni kuchoma kalori zaidi kuliko zinazoingizwa – lakini…
Unguja. Jeshi la Polisi Zanzibar limeanzisha operesheni maalumu kwa lengo la kupunguza na kudhibiti ajali zinazotokea kutokana na uzembe wa…
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wengine watatu wa Kariakoo, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka ya 31…
Afisa wa polisi kutoka nchini Kenya ambaye ni sehemu ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Haiti hajulikani alipo…
Rukwa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linawashikilia watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi wa kidato cha nne, Novatus…
Rukwa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linawashikilia watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi wa kidato cha nne, Novatus…
Polisi waliweza kutumia Kishkwambia ama iPad kama ushahidi muhimu katika kesi ya watu watatu ambao walipanga kufanya mauaji
Dar es Salaam. Simba imetamba kuwa imehakikishiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa…
Moshi. Mahakama ya Rufani Tanzania, imemfutia adhabu ya kifo, Frank Ezbon, aliyemuua mpenzi wake, Jesca Lucas baada ya kukuta picha…
Mwanafunzi mmoja wa Tunisia amekamatwa kwa kuingia uwanjani na kupeperusha bendera ya Palestina wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kwa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imemshutumu Waziri Mkuu wa Israel, Benjami Netanyahu kwa “kudanganya familia za [mateka],…
Mamlaka za Libya zimetangaza habari ya kuwaachilia huru wahamiaji 82 waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la wahalifu likidai kikomboleo.
Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda amesema kwamba kauli ya Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, kwamba Rwanda inapanga kushambulia…
Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kimezindua “mji mkubwa wa makombora” ulioko…
Ofisa habari wa Simba, Ahmed Ally amesema tayari timu hiyo imejiandaa na safari ya kwenda Misri kwaajili ya mchezo wa…
Dar es Salaam. “Kufua shuka mpaka nione linabadilika rangi, kitu pekee ninachoheshimu ni foronya ya mto hiyo baada ya siku…
Dar es Salaam. “Kufua shuka mpaka nione linabadilika rangi, kitu pekee ninachoheshimu ni foronya ya mto hiyo baada ya siku…
Hedhi ni changamoto kwa kila mwanamke. Lakini je nini hufanyika ikiwa wanawake watapata hedhi katika anga za mbali? Je, wanakabiliana…
Argentina imekuwa timu ya kwanza kutoka kanda ya soka ya Amerika Kusini kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada…
Dar es Salaam. Wapo baadhi ya wasanii Bongo ambao wamewahi kutambulisha wasanii kupitia lebo zao. Mwishoni mwa 2024 Omary Ally…
Kati ya mwaka 2020 na 2022, mzozo kati ya chama cha Tigray People’s Liberation Front (TPLF) na serikali ya shirikisho…
Thomas Lubanga, kiongozi wa zamani wa wanamgambo aliyehukumiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kifungo cha miaka 14 jela kwa…
Mfalme Charles na Malkia Camilla wa Uingereza wamelazimika kukatisha ziara yao ya kiserikali waliyopanga kuifanya Vatican na kukutana na Papa…
Mamlaha husika nchini Uturuki zimewatia mbaroni waandamanaji zaidi ya 1,4000 huku maandamano ya mitaani yakiendelea kushuhudiwa katika miji mikubwa ya…
Watu 19 wamefariki katika mfululizo wa moto wa misitu miongoni mwa matukio mabaya zaidi katika historia ya Korea Kusini, ambao…
Muungano wa Madaktari wa Sudan Kusini (SSDU) umeitaka serikali kushughulikia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaoongezeka nchini humo. Ugonjwa wa…
Makundi ya misaada ya kibinadamu yameripoti kuwa watu wasiopungua 54 wameuawa katika shambulio la anga la jeshi katika soko moja…
Mwakilishi wa Kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa mpito wa Syria waandae mchakato wa kuasisi serikali…
Sambamba na kushtadi mashambulizi ya anga na nchi kavu ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza; Shirika la Kimataifa…
Walinzi wa Mapinduzi, jeshi la wasomi la Iran, wamezindua mji mpya wa makombora wa chini ya ardhi siku ya Jumanne,…
Mamia ya watu wameshiriki katika maandamano makubwa zaidi dhidi ya Hamas huko Gaza tangu vita na Israel kuanza, wakiingia mitaani…
Utawala wa rais Donald Trump umeendesha mashambulizi siku ya Jumanne, Machi 25, huku kesi ya mwandishi wa habari wa Jarida…
Nabih Berri, Spika wa Bunge la Lebanon amefichua mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kuiburuza nchi hiyo…
Simba inaendelea na hesabu zake ikijiandaa na mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kocha wa wapinzani Anis…