Odinga yuko Juba kusaidia katika upatanishi kati ya rais Kiir na makamu wake
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, yupo Juba nchini Sudan Kusini, kujaribu kuwapatanisha viongozi wakuu wa nchi hiyo, baada…
Mizozo ya kijeshi duniani
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, yupo Juba nchini Sudan Kusini, kujaribu kuwapatanisha viongozi wakuu wa nchi hiyo, baada…
LICHA ya kushindwa kubebwa na rekodi ya kupata matokeo mazuri mechi za ugenini Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Kally…
MAJERAHA yamekiweka rehani kibarua cha staa wa zamani wa Yanga, Yacouba Sogne baada ya upasuaji wa goti nchini Morocco kukamilika…
Unguja. Jeshi laPolisi Mkoa wa Mjini Magharibi limewataka wananchi kuitumia vyema sikukuu ya Idd el Fitr na isiwe chanzo cha…
KOCHA Mkuu wa Singida Big Stars (SBS), David Ouma amesema Azam FC na Tabora United zimeshika hatma ya timu hiyo…
Imam wa Swala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran ameashiria kushiriki kwa wingi na kwa hamas wananchi wa…
Arusha. Mahakama ya Rufaa Tanzania imemwachia huru Alphonce Michael maarufu Rasi aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa, baada ya kutiwa hatiani kwa…
Mbeya. Wakulima wa zao la tumbaku, Wilaya ya kitumbaku Chunya Mkoa wa Mbeya wameibua hoja ya kutaka kujua zilipo Sh13…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Iran amesisitiza kwamba mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mpango wa…
Madrid. Nyota wa Real Madrid Antonio Rudiger, Kylian Mbappe, Dani Ceballos na Vinicius Junior wanachunguzwa na UEFA kwa tuhuma mbaya…
Binti wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, aliyekuwa Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa kuwauwa viongozi wa…
Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema Serikali imepitisha bajeti zaidi ya Sh400 bilioni kwa ajili ya…
Dar es Salaam. Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa imeanza vikao vya majadiliano na wanandoa wanaokabiliwa na kesi…
Haydom. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa amezindua jengo jipya la mama na…
Katika juhudi za kuimarisha utalii wa ndani na kikanda, Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) imeingia ushirikiano na klabu ya Yanga…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limeufungulia Uwanja wa Benjamin Mkapa kutumika kwa mechi za kimataifa za kimashindano, uamuzi…
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha serikali cha Glasgow, Scotland wamefanya mgomo wa kula wakilalamikia ushirikiano wa chuo hicho na makampuni…
Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa nchi hiyo ya Kiarabu itaendelea na misimamo yake isioyumba wa kuwahami…
Dar es Salaam. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum, Dk Dorothy Gwajima amewasihi wanaozungumza vibaya…
Mnamo mwaka 1979, mara tu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini alitangaza Ijumaa ya mwisho…
Dar es Salaam. Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limeufungulia Uwanja wa Benjamin Mkapa kutumika kwa mechi za kimataifa…
Dar es Salaam. Yanga imepanga kutumia mafanikio yake ya uwanjani kupaisha utalii wa Zanzibar ambapo sasa haitoishia kuvaa jezi za…
Myanmar imetangazwa hali ya hatari katika miko yake mikubwa ya Sagaing, Mandalay, Magway, Bago, Easter Shan state na Naypyidaw
Dar es Salaam. Ningekuwa S2Kizzy nisingebishana na mtu yeyote anayesema S2Kizzy sio prodyuza mkali. Nisingebishana na mtu yeyote anayekataa kukubali…
Njombe. Shukuru Mwalongo (37), mkazi wa Kijiji cha Lugawala, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, ameamua kuachana na maisha ya ujambazi…
Krasnodar. Rais wa Urusi, Vladimir Putin amependekeza Ukraine iwekwe chini ya utawala wa muda ili kuruhusu uchaguzi mpya kufanyika huku…
Baada ya Ivory Coast kutangaza kujitoa kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20…
Dar es Salaam. Baada ya Ivory Coast kutangaza kujitoa kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri…
BAADA ya jana kupigwa michezo mitatu ya Ligi ya Championship katika viwanja mbalimbali, leo mechi moja nyingine itapigwa kati ya…
Wananchi Waislamu wa Iran kote nchini wamejitokeza kwa mamilioni kushiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, kuonyesha mshikamano…
Jeshi katili la Israel ambalo lilianzisha mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza mnamo Machi 18, limeendelea kupuuza miito…
Serikali ya Rwanda imeyapiga marufuku mashirika yote ya kimataifa na ya kitaifa yasiyo ya kiserikali (NGOs) na mashirika yanayofanya kazi…
Raia sita wa Russia wamepoteza maisha huku watalii 39 wa kigeni wakiokolewa wakati nyambizi ya kitalii ilipozama kwenye eneo la…
London. Ushiriki wa Chelsea na Manchester City katika Fainali za Kombe la Dunia la Klabu ambazo zitafanyika Marekani baadaye mwaka…
Katika kijiji cha Koono, Kaunti ya Turkana nchini Kenya, kijana wa miaka 12 amekaa kwenye kiti huku akiwatazama vijana wenzake…
Kila ifikapo Machi 24 huwa ni siku ya kimataifa ya Kifua Kikuu Duniani. Ni ugonjwa hatari unaoshambulia mapafu na maeneo…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema anasikitishwa sana na kuendelea kushtadi taharuki na hali ya mambo nchini…
Mwezi mmoja baada ya kusitishwa mara moja kwa mapigano mashariki mwa DRC na kuondolewa kwa vikosi vya Rwanda, vilivyotakwa na…
Hersi afichua yaliyojadiliwa kwenye kikao cha Waziri Kabudi ishu ya Dabi SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo…
Dar es Salaam. Simba inakwenda Misri kucheza mechi ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al…
Baada ya Japani mwaka 2021, Ufaransa inaandaa toleo la 3 la mkutano wa kilele wa Lishe kwa Ukuaji “Nutrition for…
Kampala. Mwanahabari mkongwe wa Uganda, Shaka Ssali amefariki dunia Machi 27, 2025, akiwa na miaka 71. Ssali aliyefariki huko Virginia,…
Diabetes Ketoacidosis au kwa kifupi DKA, ni hali hatari inayotokea watu wenye ugonjwa wa kisukari, hasa aina ya kwanza. DKA…
Mark Rutte, Katibu Mkuu wa NATO amesisitiza juu ya umoja wa pande mbili za Bahari ya Atlantiki na kusema kuwa…
Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Ijumaa Maachi 28 ametoa wazo la “utawala wa mpito” kwa Ukraine, chini ya…
Dar es Salaam. Popote duniani muziki wa Hip Hop na RnB unapokutana inazaliwa ladha moja ya kipekee masikioni mwa msikilizaji na…
Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO, Bintou Keita ametoa wito siku ya Alhamisi, Machi 27, kuelekeza…
Maana ya Zaka ya Fitr Neno Zaka katika muktadha wa lugha ya Kiarabu linamaanisha kukua kwa kitu, usafi wa kitu,…
Mashirika ya ATCL, TTCL, Posta, na Reli (TRC) ni miongoni mwa Mashirika ya umma yanayotengeneza hasara
Vikosi vya Wanajeshi vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) vinashutumu na kulaani uimarishaji wa ngome za jeshi la Rwanda…