Hamdi agawa dakika 270
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi, ameonekana kuridhishwa na safu yake ya ulinzi huku akizigawa dakika 270 zilizoleta matumaini makubwa.…
Mizozo ya kijeshi duniani
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi, ameonekana kuridhishwa na safu yake ya ulinzi huku akizigawa dakika 270 zilizoleta matumaini makubwa.…
SIMBA ina deni la kurudisha mabao mawili kisha kusaka la ushindi itakapocheza dhidi ya Al Masry ili kufuzu nusu fainali…
Mbulu. Wilaya ya Mbulu imetumia Sh204 bilioni kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya elimu, afya na maji, katika kipindi…
Moshi. Kaya zaidi ya 300 katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, zimezingirwa na maji, huku 62 zikiachwa bila makazi kutokana…
Dar es Saalam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa Shilingi ya Tanzania inatarajia kuimarika ifikapo mwishoni mwa mwaka huu…
Rufiji. Ndoto iliyoanzishwa kwa matumaini makubwa imefikia tamati leo, baada ya mitambo yote tisa ya kufua umeme katika mradi wa…
Dar es Salaam. Mwezi Machi umepita, lakini ni mwezi wenye kumbukumbu nyingi chungu kwa ndugu, marafiki na wapenzi wa muziki…
Tetemeko hilo kubwa la ardhi lililoikumba Myanmar Machi 28 limesababisha vifo vya watu 3,354, kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa…
Makumi kwa maelfu ya waandamanaji wanatarajiwa siku ya Jumamosi kote Marekani, Canada, Mexico, na nchi za Ulaya kushutumu mageuzi makubwa…
Dar es Salaam/Arusha. Suala la usimamizi wa mali za Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa nchini, Lameck Mfalila, anayesumbuliwa na…
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema kuwa visiwa hivyo vina utajiri mkubwa uliojificha, ambao…
Dar es Salaam. Mambo yanazidi kumnyookea kocha wa timu ya wanawake ya Yanga ‘Yanga Princess’ baada ya kuongezwa kwenye benchi…
KUNA uhondo wa mechi nne za Ligi Kuu Bara Jumapili hii ambapo zimekaa kimtego kweli, huku kila timu ikipiga hesabu…
Songea. Deodatus Balile amechaguliwa bila kupingwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo.…
Dar es Salaam. Chama cha Wataalamu wa Masoko Tanzania (TMSA) kimeingia makubaliano rasmi na Chuo cha Masoko cha Uingereza (CIM)…
APRILI 4, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja alitimiza mwezi mmoja tangu akabidhiwe timu hiyo akichukua mikoba…
Dar es Salaam. Hatimaye robo ya kwanza ya mwaka 2025 imetimia huku mengi yakijiri katika tasnia ya burudani Bongo ambayo…
Dodoma. Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaelekea ukingoni, likitarajiwa kuvunjwa Juni, 2025. Kila mbunge ana yake…
Dar es Salaam. Chadema bado hapajapoa ndivyo unavyoweza kueleza. Hii ni baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kutengua uteuzi…
Shinyanga. Meneja wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) LOT 5, kutoka Isaka hadi Mwanza, Mhandisi Christopher Kalisti,…
Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amesema licha ya jitihada za kuwainua wanawake kiuchumi kufanikiwa, bado kuna…
Marekani. Mwanamuziki wa Pop Marekani, Taylor Swift pamoja na mpenzi wake, Travis Kelce wameamua kujifungia ndani ili kukwepa vyombo vya…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa, takriban watoto 19,000 wameshauawa shahidi huko Ghaza na takriban watoto…
Senegal iliadhimisha miaka 65 ya uhuru jana Ijumaa ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika…
Takriban watu 52 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya magenge yenye silaha kufanya mashambulizi katikati mwa Nigeria.
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imekanusha kuhusika kivyovyote vile na ndege ya misaada ya kibinadamu iliyoshambuliwa mashariki mwa…
YANGA imeanza mapema harakati za kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao huku ikipiga hodi katika Ligi Kuu Kenya…
Rais Masoud Pezeshkian amempiga kalamu nyekundu Makamu wake katika Masuala ya Bunge kufuatia safari ya kibinafsi ya mwanasiasa huyo wakati…
Wakati wajumbe wa Ufaransa na Uingereza walipokuwa kyiv kukutana na Rais Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa, Aprili 4, kujadili uwezekano…
Kyiv. Mamlaka nchini Ukraine zinasema watu wasiopungua 18, wakiwemo watoto tisa, wameuawa katika shambulio la kombora la Russia kwenye eneo…
Nchini DRC, hali ya utapiamlo imezorota katika miezi ya hivi karibuni, kulingana na makadirio kutoka Ainisho ya Awamu ya Usalama…
Afisa mmoja mwandamizi wa serikali ya Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orbán ametangaza kuwa nchi hiyo inajitoa katika Mahakama ya…
Ziara ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni nchini Sudani Kusini ilimalizika Ijumaa. Ziara ambayo Mkuu wa Nchi alikutana na mwenzake…
Bia, mojawapo ya vinywaji vinavyopendwa duniani, na kinywaji cha kileo kinachopendwa zaidi kwa kiasi, kimekuwa sehemu ya jamii tangu wanadamu…
Manchester. Jana Ijumaa, Aprili 04, 2025, kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne (33) aliwaaga mashabiki wa timu hiyo akifichua…
Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni kwa kushirikiana na Marekani katika eneo…
Naibu msemaji wa serikali ya Rwanda Alain Mukuralinda alifariki Alhamisi, Aprili 3, katika hospitali ya Kigali kufuatia mshtuko wa moyo.…
Nchini Burkina Faso, makumi ya wanakijiji waliuawa katika mashambulizi ya siku ya Alhamisi, Aprili 4, na kundi lenye silaha katika…
Nchini DRC, shambulio jipya la watu wenye silaha lilisababisha vifo vya zaidi ya raia kumi huko Kwilu siku ya Jumanne,…
Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed al-Khalili, amekosoa vikali kimya kinachoonyeshwa mbele ya jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimefanya operesheni ya kijeshi kulenga eneo la jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel…
Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa fatwa (agizo la kidini) ukizitaka nchi za Kiislamu kutoa msaada wa…
Mtu ambaye alishutumu uhalifu wa utawala wa Muhammar Gaddafi yuko machoni mwa mahakama ya Libya. Samir Shegwara, mwandishi mwenza (pamoja…
Kujiweka juani kuna manufaa kwa afya yako ya mwili na akili. Hiyo ni kwa sababu, bila ya jua la moja…
Maelfu ya waandamanaji wamemiminika katika mitaa ya Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wakiandamana bega kwa bega…
Jeshi la Sudan jana Ijumaa lilikabiliana vikali na hasimu wake yaani Kikosi cha Wanamgambo wa Msaada wa Haraka (RSF) katika…
Dar es Salaam. Ni miaka zaidi ya 10 imepita tangu Wema Sepetu na Diamond Platnumz wameachana lakini uhusiano wao una…
Wiki mbili baada ya Walikale-centre kudhibitiwa na vuguvugu la kisiasa na kijeshi la AFC/M23, waashi hao wamejiondoa katika mji huu…
Masoko ya hisa nchini Marekani yamehitimisha wiki yao mbaya zaidi tangu 2020, huku viwango vikubwa vya ushuru wa Donald Trump…
Nyota wa Real Madrid Antonio Rudiger, Kylian Mbappe, na Dan Ceballos wamepigwa faini na Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA)…