Wapalestina karibia 30 wameuawa katika shambulio la Israel Gaza
Mashambulio ya jeshi la Israeli, yamewauwa Wapalestina, karibu 30 na kuwajeruhi wengine 60 katika wilaya ya Shejaia, Kaskazini mwa ukanda…
Mizozo ya kijeshi duniani
Mashambulio ya jeshi la Israeli, yamewauwa Wapalestina, karibu 30 na kuwajeruhi wengine 60 katika wilaya ya Shejaia, Kaskazini mwa ukanda…
Umoja wa Mataifa unasema watu Milioni 7.7 nchini Sudan Kusini, wanakabiliwa na baa la njaa, wengi wakiwa ni wakaazi wa…
Mamia ya wakimbizi kutoka Sudan, waliokimbilia jijini Cairo nchini Misri, wanatumia usafiri wa mabasi kurejea jijini Khartoum, baada ya jeshi…
Arusha. Mwili wa mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi yake umekutwa pembezoni mwa mto Sekei jijini Arusha, huku ukiwa…
Unguja. Katika kukabiliana na uhaba wa maji kisiwani Zanzibar, wananchi wametakiwa kuwa makini katika matumizi ya maji ili kudhibiti upotevu…
Tunduma. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameunda kamati maalumu kuchunguza sababu za ucheleweshaji wa malori ya mizigo kuvuka…
Dar es Salaam. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibeba ajenda ya uchaguzi mkuu mwaka huu ikieleza kila hoja inayopigiwa kelele…
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu anadaiwa kushirikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani…
HISTORIA imeandikwa! Mnyama ameenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza baada ya ushindi wa penalti…
Mbeya. Wajawazito wanaotumia vilevi na sigara kupita kiasi, wako hatarini kupata watoto wasio na ubongo ‘alcoholic syndrome’ tatizo linalosababisha ubongo…
Kahama. Mwanaume ambaye jina lake halikufahamika, amefariki dunia baada ya kujirusha chini ya uvungu wa gari la mizigo, mali ya…
Dar es Salaam. Ili kuharakisha ujumuishaji wa kifedha kwa wanawake, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetaja maeneo ambayo yanapaswa kuwekewa…
Mbeya. Wakati bei ya mchele ikipanda mkoani Mbeya, wakulima wa zao hilo wamesema huenda bidhaa hiyo ikazidi kupanda kutokana na…
Dar es Salaam. Serikali imedai upelelezi wa kesi ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine na…
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Dk James Mwainyekule amesema…
Dar es Saalam. Hii Tunavuka. Ndiyo kauli ambayo kila shabiki wa Simba aliyekuwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa aliitamka kabla…
Dar es Salaam. Ahadi nyingine imetolewa kuhusu ujio wa mabasi ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), ikiwa ni ahadi…
Inapokuja mechi kubwa ya dabi yoyote duniani kuna vitu vingi ambavyo hutazamwa katika kuuzungumzia ukubwa wa mchezo husika. Uhamisho wenye…
Dar es Salaam. Pamoja na kuwepo upinzani ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhusu ajenda ya ‘No reforms,…
NAHODHA wa zamani wa Italia na mshindi wa Kombe la Dunia, Fabio Cannavaro amefutwa kazi katika klabu ya Dinamo Zagreb…
Dar es Salaam. Halmashauri ya jiji la Tanga, imetajwa kuongoza kwa usafi kwa kupata asilimia 83.2 ya alama zote. Ikishindanishwa…
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasilisha bungeni mapitio ya utekelezaji wa shughuli za Serikali na mwelekeo wa mwaka…
Geita. Kauli ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Saphia Jongo, inayowaasa wananchi kutokubali kukamatwa na polisi wasiojitambulisha, imeibua mijadala…
Dar es Salaam. Wakati Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ikiendelea kuhamasisha taasisi za kifedha kuja na bunifu mbalimbali zitakazowawezesha watu…
YANGA inajivunia kuwa na wigo mpana wa kufunga mabao inapokwenda kukabiliana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara…
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ametoa maagizo kwa wakuu wa wilaya (DC)…
KIPUTE cha leo pale Azam Complex kimeshikilia mambo mawili makubwa; mosi, ni je Yanga itashinda na kukomaa juu ya msimamo…
Kati ya vyuo vikuu 19 vilivyoshiriki katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira, vitano vimeibuka katika nafasi ya juu…
Dar es Salaam. Wafanyabiashara 142 wa soko Kuu la Kariakoo waliokatwa mara ya pili katika orodha ya wanaotakiwa kurudi sokoni…
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu imetoa hati ya kumkamata mshtakiwa Ibrahim Batweli (21) baada ya kushindwa kufika…
Maelfu ya wananchi wa Misri kutoka majimbo mbalimbali wamekusanyika karibu na Uwanja wa Ndege wa El-Arish katika Mkoa wa Sinai…
Wakati Chelsea na Newcastle zikimtaka Pavlidis, Liverpool ina imani Van Dijk na Mo Salah watasalia Anfield
KITENDO cha Pamba Jiji kupewa mkwaju wa penalti dakika ya 90+7 kisha kukosa ilipotoka sare ya 1-1 na Fountain Gate,…
UONGOZI wa Namungo umethibitisha kumsimamisha kipa wao, Beno Kakolanya kwa kile kinachodaiwa ni utovu wa nidhamu huku mchezaji huyo akisubiri…
Dar es Salaam. Wakati umesalia muda mfupi kabla ya mchezo wa marudiano wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika…
SINGIDA Black Stars, leo huenda ikasogea hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara na kuishusha Azam FC,…
Dodoma. Mkoa wa Dar es salaam umetajwa kuwa kinara kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto wanaoishi na kufanya kazi…
Baada ya Mwanaspoti kuripoti namna mastaa wa zamani wa Simba wanavyotamani kuona kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids akimuanzisha Steven…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametangaza kwa msimamo thabiti kuwa Iran haitalegeza msimamo wala haitakubali masharti yoyote yanayohusu mafanikio yake…
Rais Masoud Pezeshkian ametembelea maonyesho ya mafanikio ya nyuklia huku Iran ikiadhimisha Siku yake ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema kuwa mazungumzo ya Iran yatakayofanyika Oman siku ya Jumamosi ni…
Vikosi vya Yemen vimeangusha tena ndege ya kivita isiyo na rubani au droni ya kisasa aina ya MQ-9 ya Jeshi…
Viwango vya vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga barani Afrika vimepungua tangu mwaka 2000, Shirika la Afya Duniani…
Watu wa Iran wamekusanyika kuonyesha msaada wao wa dhati kwa Wapalestina wanaoteseka kutokana na umwagaji damu wa kikatili na vitendo…
WAKATI umesalia muda mfupi kabla ya mchezo wa robo fainali ya pili kupigwa, hali ya hewa ya mvua iliyoanza kunyesha…
Dar es Salaam. Benchi la ufundi la Simba limeamua kumuanzisha mshambuliaji Steven Mukwala katika mchezo wake wa marudiano ya robo…
Michezo ya kubashiri inahusisha hisia, hofu na matamanio ya ushindi. Hii ndiyo husimumua mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Lakini hata…
PRIME Mastaa Simba wataka Mukwala aanze MASTAA wa zamani wa Simba, wanatamani Kocha wa timu hiyo, Fadlu Davis akamuanzia raia…
Unguja. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza kuongezeka kwa bei za mafuta ambazo zitaanza…
Dar es Salaam. Huenda ikawa habari njema kwa watumiaji wa mtandao wa WhatsApp katika kutunza siri na faragha zao kutokana…