No reform No Election kurindima Kanda ya Kusini kuanzia Aprili 4, 2025
Dar es Salaam. Kadri joto la uchaguzi wa mwaka 2025 linavyozidi kupanda, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Kadri joto la uchaguzi wa mwaka 2025 linavyozidi kupanda, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na…
Ikulu ya White House inatarajiwa kutangaza ushuru wa “kulipiza”. Kwa upande wake, Umoja wa Ulaya unajua kuwa utaathiriwa na unajiandaa…
Zaidi ya mwezi mmoja baada ya kufungiwa katika Hoteli ya Decapolis huko Panama City, makumi ya wahamiaji wa Asia na…
Serikali ya Kongo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wanapanga kufanya mazungumzo ya moja kwa moja Aprili 9,…
Dar es Salaam. Msimamo wa ama kuendelea kugombea au kuweka rehani ndoto za kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba,…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy amezungumzia hali ya hatari inayowakabili wafanyakazi wa misaada katika Ukanda wa…
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepanga kufanya mazungumzo ya kwanza kabisa na kundi la waasi wa M23,…
Mamelodi Sundowns na Esperance huenda kila moja ikajikuta ikikumbana na adhabu kali kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)…
Seneta wa Marekani Cory Booker amevunja rekodi iliyodumu kwa miaka 68 ya hotuba ndefu zaidi kutolewa katika historia ya Seneti…
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan aliyefungwa jela, ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel kwa “kazi aliyofanya…
Marekani. Elon Musk, mmoja wa wafanyabiashara wakubwa duniani na mkuu wa kampuni ya Tesla, amekuwa gumzo hivi karibuni baada ya…
Dar es Salaam. Licha ya muziki wake kutawaliwa na drama nyingi kutokana na kuwa na uhusiano na Shilole kipindi cha…
Zaidi ya asilimia 70 ya fedha za Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi ya Fedha (HEET) zimeelekezwa…
Dar es Salaam. Baada ya miaka mitano akiwa kama Mtangazaji wa Radio, Ray C aliamua kujaribu bahati yake katika Bongofleva,…
San’aa. Shambulizi lililolofanywa kwa ndege ya kijeshi ya Marekani nchini Yemen limesabababisha vifo vya watu wanne huku kadhaa wakijeruhiwa. Al…
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Bw. Binuru Shekidele, akizungumza alipokutana na Timu ya Wataalamu…
Dar es Salaam. Ni miaka 23 sasa tangu Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ aachie wimbo wake ‘Mabinti’ wimbo uliobeba majina ya warembo…
Hatima ya mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina kuendelea kuliwakilisha jimbo hilo iko mikononi mwa wananchi kutokana na vita kali…
Kipa namba moja wa Simba, Moussa Camara huenda akarejea kwenye lango la timu hiyo dhidi ya Al Masry leo, baada…
Leo ni Jumanne tarehe Pili Shawwal 1446 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Aprili 2025.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuunda na kumiliki silaha za nyuklia kwa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo…
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Burkina Faso na Niger wiki hii wataelekea ziarani mjini Moscow, Russia. Nchi hizo…
Duru za kitiba zimetangaza kuwa Wapalestina 11 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa…
Je, wewe huosha brashi zako za mapambo mara ngapi? Umewahi kuazima ujiti wa kupakia wanja kutoka kwa rafiki au kujipaka…
Je, wewe huosha brashi zako za mapambo mara ngapi? Umewahi kuazima ujiti wa kupakia wanja kutoka kwa rafiki au kujipaka…
Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamepinga mchakato unaoendelea wa kuunda upya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wakimshutumu Rais…
Masasi. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi leo Jumatano, Aprili 2, 2025 anaanza ziara ya kikazi…
Wasiwasi umetanda ndani ya Arsenal wiki moja kabla ya kuivaa Real Madrid katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya…
Kibaha.Wakati uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ukitarajia kufanyika leo Aprili 2,2025 mjini Kibaha Mkoa wa Pwani, shamrashamra…
Dar es Salaam. Huenda kuongezeka kwa wastani wa gharama za kubadilisha fedha za kigeni kwa asilimia 1.91, Aprili 2025 ikawa…
Panzi huyu amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na rangi zake asilia zenye kufanana za zile za bendera ya Tanzania BBC News…
Mpatanishi mkuu wa Kremlin anatarajiwa mjini Washington wiki hii kwa mazungumzo na utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, vyanzo…
Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo CAS imeanza kufanya mambo yake ikiwasiliana rasmi na wahusika wakuu kesi ya klabu…
The post EWURA YATANGAZA BEI MPYA YA MFUTA appeared first on Mzalendo.
China imetangaza Jumatano kwamba imezindua mazoezi mapya makubwa ya kijeshi katika Mlango-Bahari wa Taiwan, siku moja baada ya luteka ya…
Wiki moja baada ya Makamu wa Rais Riek Machar kuwekwa chini ya kizuizi cha nyumbani na vikosi vya usalama vya…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki BBC News…
UNICEF kwa mara nyingine tena IMEtoa wito wa kukomeshwa kwa uhasama na kuanzishwa kwa usitishaji mapigano Gaza. Shirika la Umoja…
Marais Wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwenzake wa Algeria Abdelamadjid Tebboune wamekubaliana kuanzisha upya mazungumzo yanayolenga kuimarisha mahusiano mapya ya…
Waasi wa M23 wameeleza kuwa pande hizo mbili zinalenga kufanya mazungumzo ya moja kwa moja kwa mara ya kwanza tarehe…
Watu 9 kati ya 10 waliofuatiliwa kwenye shindano, walifua suruali zao kwa mara ya kwanza baada ya kuvaa mara 150…
Kuna baadhi ya tungo za muziki zinafikirisha sana. Vijana wawili wa zamani waliuliza kwenye utunzi wao: “Ingekuwa vipi kama pumzi…
Leo naendelea na mfululizo wa makala zangu elimishi kuhusu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), nikilielekeza jicho langu…
Dar es Salaam. Mageuzi ya mfumo wa kisiasa yatakayohusisha mabadiliko ya kisheria, sera na Katiba kwa ujumla wake, limekuwa hitaji…
Kaulimbiu za kampeni ni silaha yenye nguvu kwa chama cha siasa au mgombea. Donald Trump alijitengenezea mtaji mkubwa haraka, alipoinuka…
Juzi tulishangaa sana. Mwe! Nani angeamini kuwa mafyatu wanene na wanono wangefyatukiana na kufyatuana hadharani? Unene kweli taabu, japo una…
Uongozi wa kijeshi nchini Niger, umewaachia huru karibu 50, wakiwemo waliokuwa Mawaziri katika serikali ya kiraia iliondolewa madarakani Julai mwaka…
Waasi wa M23 wameeleza kuwa pande hizo mbili zinalenga kufanya mazungumzo ya moja kwa moja kwa mara ya kwanza tarehe…
Wataalamu na watunga sera waliohudhuria mkutano kuhusu vipaumbele vya Afŕika wakati wa Urais wa Afrika Kusini wa Kundi G20 wamesisitizia…