Sudan: RSF imeua raia wengine 32 El-Fasher, Darfur Kaskazini
Jeshi la Sudan limesema kwa uchache raia 32 wameuawa katika shambulio jipya la Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko…
Mizozo ya kijeshi duniani
Jeshi la Sudan limesema kwa uchache raia 32 wameuawa katika shambulio jipya la Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko…
Makabiliano yaliripuka mjini Amsterdam kati ya polisi ya Uholanzi na waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina, wakati waandamanaji hao wakipita katika kitovu…
Kati ya vyama 19 vya siasa vilivyosajiliwa Tanzania, 18 vimesaini kanuni hizo, na Chadema pekee ndicho kilichosusia.
Rais wa China, Xi Jinping ametahadharisha kuwa, Marekani iko katika hatari ya kujitenga yenyewe kwa kushupalia vita vya ushuru na…
Tarime. Mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara uliopo Nyamongo wilayani Tarime Mkoa wa Mara unatarajia kutoa leseni zake nne…
New York. Familia ya watu watano kutoka Hispania imefariki dunia katika ajali ya helikopta ya utalii iliyotokea kwenye Mto Hudson,…
Mtwara. Katika jitihada za kupunguza vifo vya wavuvi vinavyotokana na ajali za mara kwa mara katika Ziwa Victoria, Serikali ya…
Dar es Salaam. Tamthiliya. Ndiko liliko kimbilio kwa waigizaji wetu. Hakuna tena filamu. Tunalazimika kutafuta ving’amuzi vya runinga tofauti ili…
Dodoma. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni…
Baadhi ya tafiti zinaonesha kuwa matumizi ya kawaida ya chai ya kijani yanaweza kupunguza hatari ya aina fulani za saratani,…
Esmail Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa: Ujumbe wa Iran…
Afisa wa Hamas ameliambia shirika la habari la AFP kwa maofisa wa ngazi ya juu wa kundi hilo wanaelekea jijini…
Dar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa Singida Black Stars, Omary Kaya ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa klabu hiyo, mabadiliko ambayo…
Geita. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujifanya maofisa polisi na kuchukua kiasi cha…
ARIZONA, MAREKANI: MSIMU mrefu wa NBA 2024-25 unaelekea ukingoni ukiwa umejaa rekodi mpya na matukio ya kukumbukwa. Zikiwa zimesalia saa chache…
Dar es Salaam. Ni miezi sita sasa bila Alikiba kutoa wimbo mpya lakini sio jambo geni bali ni utamaduni wake…
Meatu. Licha ya Tanzania kuwa na sheria zinazozuia ndoa na mimba za utotoni, jamii inatumia usiri na uongo kama mbinu…
Maelfu ya wananchi wa Oman wamefanya maandamano kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na kuliunga mkono taifa madhlumu la Palestina.
Vikosi vya RSF nchini Sudan, vimesababisha unyanyasaji mkubwa wa kijinsia kwa wanawake na wasichana katika kipindi cha miaka miwili ya…
Dar es Salaam. Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, (INEC), vyama vya siasa na Serikali leo Aprili 12, 2025…
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba…
Nigeria. Mkali wa Afrobeats kutokea Nigeria, Davido amefunguka kuhusu nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo mkewe Chioma katika maisha yake binafsi…
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, milio ya silaha nzito na nyepesi ilisikika usiku wa Aprili 11-12 katika mji…
Jaji wa mahakama ya Louisiana nchini Marekani amepasisha uamuzi wa kundolewa nchini humo mwanaharakati Mahmoud Khalil, mhitimu wa Chuo Kikuu…
Makumi ya maelfu ya wananchi wa Pakistan waliandamana jana baada ya Sala ya Ijumaa katika miji mbalimbali ya nchi hiyo…
Jeshi la Yemen (YAF) limetangaza habari ya kufanya operesheni nyingine ya ndege zisizo na rubani na kutwanga maeneo mawili ya…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema katika ripoti yake ya karibuni kabisa iliyotolewa jana Ijumaa kwamba,…
Wananchi wa Gabon leo Jumamosi wanashiriki kwenye uchaguzi wake wa kwanza wa rais tangu yalipotokea mapinduzi ya kijeshi yaliyomaliza utawala…
Licha ya mamia ya wanajeshi wa Marekani kufanya utafutaji wa kina, katika eneo hilo kwa wiki moja, bado hawakuweza kupata…
Dar es Salaam. Juzi kati wakati nipo kwenye harakati za mtu mweusi nikazama chimbo moja hivi ninalopenda kutembelea mara kwa mara. …
Dar es Salaam. Juzi kati wakati nipo kwenye harakati za mtu mweusi nikazama chimbo moja hivi ninalopenda kutembelea mara kwa mara. …
Manchester United wameweka bei ya kumnunua Rasmus Hojlund, Manchester City wamejua kima cha kumnunua Morgan Gibbs-White, huku Real Madrid wakiamua…
Dar es Salaam. Tusaini au tusisaini? ndilo swali lisilo na jawabu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa…
Umoja wa Mataifa umesema wanawake na watoto wa Kipalestina ndio pekee waliouawa katika mashambulizi yapatayo 36 ya anga yaliyofanywa na…
Rais wa Iraq, Abdul Latif Rashid ametangaza utayarifu wa nchi yake wa kufanya kazi na kushirikiana na Iran ili kuhakikisha…
Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki la Iran (AEOI), Mohammad Eslami, amesisitiza uwezo wa ndani wa Iran katika sayansi…
Umoja wa Mataifa umelaani kushtadi kesi za ubakaji na unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto huko mashariki mwa Jamhuri ya…
Licha ya vitisho vya vikwazo kutoka kwa Marekani, uagizaji wa mafuta ya Iran na China umeongezeka kwa kasi kubwa mwezi…
Ukandamizaji na vitisho dhidi ya wanafunzi wanaounga mkono haki ya Wapalestina unaendelea katika vyuo vikuu vya Marekani, jambo ambalo limevuruga…
Dar es Salaam. Wakati wiki ya Azaki mwaka huu ikitarajiwa kufanyika Juni, moja ya jambo litakaloangaliwa ni njia gani zinaweza …
Dodoma. Katika kuwezesha shule kuingiza mapato na wanafunzi kupata lishe, Mkoa wa Dodoma umeanza programu maalumu ya kupanda miti ya…
Mwanza. Baadhi ya wachimbaji wadogo wa madini nchini wameiomba Serikali kufanya marekebisho au kufuta kabisa Kifungu cha 8(3) cha Sheria…
Dar es Salaam. Wananchi wamesisitizwa wanapokuwa na miradi ya ujenzi kuwatumia wahandisi wabobezi na waliosajiliwa ili kuepuka athari mbalimbali zinazoweza…
Dar es Salaam. Wizara ya Afya Zanzibar, imetaja mikakati ya kukabiliana na uhaba tiba za kibobezi na madaktari bingwa na…
Dodoma. Utitiri wa mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi nchini ambayo mingine haijulikani kwa wananchi, umewaibua wabunge wakitaka iundwe tume ama…
Dar es Salaam. Mwanzoni mwa wiki hii, msanii wa Afrobeat kutokea nchini Nigeria, Wurld alichapisha video kwenye ukurasa wake wa…
Dar es Salaam. Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema ameingia katika historia baada ya kushtakiwa kwa uhaini, ikiwa ni kesi ya…
Dares Salaam. Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amewataka vijana kujifunza umuhimu wa amani kama nyenzo muhimu ya maendeleo. Pia,…
Dodoma. Wananchi walioibiwa vitu vyao na kutoa taarifa polisi wametakiwa kutotoa kiasi chochote cha fedha kwa ajili ya kufuatilia vitu…
Mahakama Kuu nchini Uganda, imekataa kumpa dhamana mwanasiasa mkongwe wa upinzani Kizza Besigye na mshatakiwa mwenzake Hajji Obeid Lutale kwa…