Wapalestina wengine 18 wauawa shahidi Gaza
Wapalestina wengine 18 wameuawa shahidi katika jinai mpya iliyotekelezwa na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.…
Mizozo ya kijeshi duniani
Wapalestina wengine 18 wameuawa shahidi katika jinai mpya iliyotekelezwa na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.…
Arusha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amedai vurugu zilizojitokeza juzi wakati wa…
Dodoma. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji, vitongoji na mitaa kwenye uchaguzi wa serikali…
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amezifariji familia zilizopoteza vijana wao katika vifo vyenye utata, huku…
Raia wa Gabon wamepiga kura ya maoni ya kuidhinisha katiba mpya katika hatua ambayo inaonekana kuwa muhimu kwa ajili ya…
Unguja. Ukosefu wa njia umedaiwa kuwa kikwazo kwa wakulima wa mwani na uvuvi katika shehia ya Buyu, Mkoa wa Mjini…
Arusha. Serikali imekaribisha sekta binafsi na mashirika ya kimataifa, kushiriana katika ulinzi wa taarifa ili kukabiliana na ukiukwaji wa faragha…
Serikali ya Qatar imeonya kuhusiana na hatua ya kupigwa marukufu shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi…
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imekubali kuzisikiliza kampuni za Oryx Oil Company Limited na Oryx Energies SA katika shauri…
Dar es Salaam. Wakati wengi wakikata tamaa kutokana na maumivu mbalimbali ikiwemo ya mapenzi, maisha na mengine, lakini kwa upande…
Arusha. Hirizi ya mganga yamponza, aenda kujisalimisha polisi, kukiri kuua akiamini hatochukuliwa hatua. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mahakama…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua…
Wananchi wa Morocco wameandamana na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Gaza na kulaani jinai za utawala…
Kamati ya Haki za Binadamu na Masuala ya Kibinadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha azimio na kusisitiza…
Dar es Salaam. Katika ulimwengu wa kisasa, uchaguzi ni daraja linalowaunganisha wananchi na viongozi wao wa kuchaguliwa, kuwezesha demokrasia kuimarika…
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hadi sasa mtu mmoja pekee amefariki dunia, huku wengine 28 wakijeruhiwa katika…
Dar es Salaam. Leo Novemba 16, 2024 wakazi wa Kariakoo wameshtushwa na tukio la kuanguka kwa jengo lenye ghorofa nne. Ajali hiyo…
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameleza kusikitishwa na taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika…
Watu watano wamefariki dunia, na zaidi ya 40 kujeruhiwa baada ya jengo kuporomoka katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam,…
Dar es Salaam. Baada ya Nenda Kamwambie kufanya vizuri. Diamond akanunua pikipiki aina ya Vespa. Pikipiki hizi maarufu sana Unguja…
Dar es Salaam. Shughuli za biashara katika eneo la Kariakoo mtaa wa Mchikichi na Congo zimesimama kwa muda, huku Waziri…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to…
Arusha. Harufu kali mithili ya mzoga wa mnyama iliyotoka ndani ya nyumba ya John Lema (57), mkazi wa Mtaa wa…
Brigedi za Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kuwa zimeangamiza maafisa…
Kitengo cha habari za kivita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu imeendelea kutoa vipigo…
Ikulu ya Russia imetangaza habari ya kufanyika mazungumzo ya simu baina ya Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo na Kansela…
Kwa mara nyingine tena, Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini ametaka kukomeshwa vita mara moja katika Ukanda wa…
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameamuru kuondolewa dawa hatari za kuua wadudu barabarani na madukani kama moja ya hatua…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetahadharisha kuhuusu uharibifu huo kamili wa kitongoji cha al-Bastan cha Quds Tukufu inayokaliwa…
Dar es Salaam, Wasanii wa kuwatazama kwa jicho la tofauti ni pamoja na Chilla. Huyu ni tatizo sana. Fundi. Ndiye…
Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa, Iran inaendelea kuunga mkono kwa kila hali…
Dar es Salaam. Waswahili waliposema “Pombe siyo maji” hawakukosea hata kidogo. Ilitokea siku moja tukitayarisha mazishi ya rafiki yetu aliyetutoka…
Mmmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Samih Aliwi, aliuawa shahidi jana Ijumaa, Novemba 15,…
Idadi ya walowezi wa Kizayuni wanaokimbilia Canada imeongezeka kwa kasi kutokana na vipigo inavyopata Israel kutoka kwa wanamapambano wa Lebanon…
Nigeria inarekodi takriban vifo 15,000 vinavyohusiana na Ugonjwa wa Ukimwi kila mwaka licha ya juhudi za serikali za kukabiliana na…
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limewaua au kuwakamata magaidi 69 wanaohusishwa na shirika la ujasusi…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa mamia kwa maelfu ya watu wamekimbia kutoka Jimbo la Aljazira katikati mwa…
Leo ni Jumamosi 14 Mfunguo Nane, Jamadul Awwal 1446 Hijria mwafaka na 16 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo…
Vedant Patel, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, ametoa matamshi ambayo yanaonyesha kuwa Marekani haiko tayari kwa…
Dar es Salaam. Viongozi wa dini nchini kwa nyakati tofauti wametoa kauli kuhusu mwenendo wa mchakato wa uchaguzi wa serikali…
Dar es Salaam. Licha mifuko ya uwekezaji kuwa na faida nyingi, kumekuwepo na mwitikio mdogo wa wananchi kujiunga nayo huku…
Arusha. Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kifungo cha maisha iliyotolewa kwa wanandoa, Shamim Mwasha na mumewe Abdul Nsembo waliohukumiwa…
Dar es Salaam. Matumizi ya mkaa na kuni, mbali na kusababisha uharibifu wa mazingira, yametajwa pia kuwa chanzo cha magonjwa…
Iringa. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya aliyekuwa…
Dar es Salaam. Ufafanuzi uliotolewa na Chadema ikikanusha kuwa na mpango wa kugawana madaraka maarufu ‘Nusu mkate’ umewaibua wadau wakionyesha…
Dar es Salaam. Washitakiwa wawili waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manne ya kusafirisha kilo 19…
Unguja. Kuuziana maeneo bila kushirikisha viongozi wa shehia, kumetajwa kuongeza uvamizi katika maeneo yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya miradi…
Dar es Salaam. Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewataka wauzaji wakubwa wa kemikali kuacha kuwauzia wauzaji…
Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amevitaja vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu…
Dar es Salaam. Wafanyakazi Wawili wa Benki ya NBC, Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) wamefikishwa katika Mahakama ya…