Waungaji mkono wa Palestina waandamana Canada na kulaani jinai za Israel
Mamia ya raia nchini Canada wameandamana katika mji mkuu Ottawa na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Mamia ya raia nchini Canada wameandamana katika mji mkuu Ottawa na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa…
Rais Xi Jinping wa China ameweka wazi mistari myekundu minne ambayo amesema haipasi kuvukwa na Marekani ili kuwepo uhusiano wenye…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa jamii ya kimataifa kuhusu “mauaji ya halaiki” ya utawala…
Shirika la Habari la Bloomberg limetangaza kuwa, Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman ameghairi safari yake iliyokuwa imepangwa ya kushiriki…
Katika ripoti yake ya hivi karibuni zaidi, shirika la kuteteta haki za binadamu la Human Rights Watch kwa mara nyingine…
Leo ni Jumatatu tarehe 16 Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na tarehe 18 Novemba 2024. Siku kama ya leo miaka 1165 iliyopita…
Dar es Salaam. Wachumi, wafanyabiashara na wamiliki wa malori nchini wameeleza mategemeo yao ya kuanza kwa usafirishaji wa mizigo kwa…
Baku, Azerbaijan. Watetezi wa mabadiliko ya tabianchi kutoka Afrika wamewasilisha ombi kwenye Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba…
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema hadi saa 4:00 asubuhi ya leo Jumapili, Novemba 17, 2024 watu 13…
Arusha. Serikali ya China imeahidi kuisaidia Tanzania kufikia lengo lake la kutembelewa na watalii milioni tano ifikapo 2025, sambamba na…
Dar es Salaam. Yanga itaanza maisha rasmi kesho chini ya zama za kocha Sead Ramovic aliyekuja kuchukua nafasi ya Muargentina…
Dar es Salaam. Wakati kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic akitarajiwa kukutana na mastaa wake wa kikosi cha kwanza leo,…
Dar es Salaam. Tanzania yang’ara katika vipengele vya uvumbuzi na bunifu bora zilizofanywa na watoto katika mashindano ya kukuza ubunifu…
Arusha. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeazimia kurejea kwenye misingi yake ya kuimarisha mchango wake kwa Taifa na wananchi katika…
Arusha. “Nilipata taarifa za kuteuliwa na kutenguliwa usiku na ulikuwa usiku mrefu sana kwangu.” Haya ni maneno ya Mkuu wa…
Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha (RC), Paul Makonda kwa mara ya kwanza amejibu tuhuma dhidi yake iliyomuhusisha katika shambulio…
Mohammad Afif, afisa wa habari wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameuawa shahidi katika shambulio la…
Arusha. Mahakama ya Rufani, imebatilisha mwenendo wa kesi na kufuta hukumu ya adhabu ya kunyongwa hadi kufa waliyokuwa wamehukumiwa wakazi…
Dar es Salaam. Chama cha ACT- Wazalendo, kwa mara ya kwanza kimekuja na ilani yake ya uchaguzi wa serikali za…
Geita. Mwendokasi na dereva wa gari binafsi aina ya Kluger kutozingatia sheria za usalama barabarani imetajwa kuwa chanzo cha ajali…
Mamia ya Maulamaa mashuhuri wa Kisunni wa nchini Iran wametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kivitendo na Maulamaa wa Ulimwengu…
Iliwahi kumtokea Nasireddine Nabi. Iliwahi kuwatokea Djuma Shaban na Yannick Bangala. Unapigwa na kitu kizito usoni na haujui kimetokea wapi. Na…
Dar es Salaam. Kufikiria kuuza ogani yake ya figo, nyumba na hata kujiua ni miongoni mwa suluhu zilizopita kichwani mwa…
Wapalestina wasiopungua 96 wameuawa shahidi na wengine 60 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya kinyama ya anga yaliyofanywa leo na jeshi la…
Dar es Salaam. Kwanza kabisa nianze kwa kuomba msamaha kwa makosa mawili yaliyojitokeza katika makala iliyopita ya Simulizi za Muziki.…
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi 145 nchini Lebanon katika muda wa saa 24 zilizopita huku likishaidisha…
Kuendelea kwa jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon kumepelekea kupanuka uungaji mkono kwa Palestina na chuki dhidi…
Wasenegal leo wamepiga kura katika uchaguzi wa Bunge ambao utaamua kama rais mpya wa nchi hiyo Bassirou Diomaye Faye ataweza…
Mabinti wa Malcolm X wamechukua hatua za kisheria za kulishtaki jeshi la Polisi la Marekani, Polisi ya Upelelezi (FBI) na…
Sumbawanga. Mahakama ya Rufani, imemfutia kifungo cha miaka 30 jela, alichoadhibiwa mchezeshaji musiki (DJ), Sokolo Richard kwa kosa la kumpa…
Dar es Salaam. Mashabiki wa Yanga wanasubiri kuiona timu yao ikianza maisha mapya bila ya Miguel Gamondi ambaye ndoa yake…
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Hassan Yahya Mwampamba, ambaye awali alizushiwa kupoteza maisha ndani ya jengo la ghorofa nne lililoporomoka jana…
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Hassan Yahya Mwampamba, ambaye awali alizushiwa kupoteza maisha ndani ya jengo la ghorofa nne lililoporomoka jana…
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Al- Hussein Dhanani ameiburuza mahakamani Serikali na Balozi Joseph Edward Sokoine, mtoto na mwakilishi wa aliyewahi…
Dar es Salaam. Wakati sekunde zikizidi kuyoyoma, saa zikikimbia na siku tisa tu zikisalia kabla ya Watanzania kuelekea kupiga kura…
Unguja. Wakazi wa Bonde la Donge Jangwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wamelalamika kupokonywa mashamba yao waliokuwa wakiyatumia kwa kilimo badala…
Geita. Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amepoteza maisha na wengine 10 kujeruhiwa katika ajali ya iliyohusisha gari dogo na…
Dar es Salaam. Kufuatia kifo cha mwigizaji Fredy Kiluswa kilichotokea jana Novemba 16,2024 katika hospitali ya rufaa Mloganzila, mwongozaji msaidizi…
Dar es Salaam. Mbali na sanaa, kitu kingine msanii anachouza kwa hadhira yake ni mtindo wake wa maisha, na hapa…
Jenerali mstaafu wa jeshi la Nigeria ambaye alikwenda katika nchi kadhaa za Afrika zikiwemo Mali na Liberia kwa ajili ya…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Med limesema kwamba limesajili makumi ya kesi za mauaji ya kukusudia na vitendo…
Mapema usiku wa kuamkia leo, moto umerushwa katika makazi ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, huko Caesarea, tukio lililoelezwa…
Baada ya vita vya zaidi ya miezi 18 nchini Sudan kati ya jeshi la taifa na Vikosi vya Msaada wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi, amesema kuwa hivi sasa nchi za Ulaya zinaonyesha nia ya…
Dar es Salaam. Ushindi wa bao 1-0 wa Guinea dhidi ya DR Congo umeweka kundi H la kufuzu kwa AFCON…
Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Jenerali Azizi Nasirzadeh, ambaye yuko ziarani nchini Syria, amekutana na na kufanya mazungumzo na…
Wasaidizi wa nyumbani, maarufu kama ‘house girl’ ni watoto au vijana wadogo waliokulia katika mazingira ya kawaida, hasa ya kijijini.…
Wakulima takribani 195 wa mpunga wamefufua matumaini ya kuendelea na msimu mwingine wa kilimo, baada ya kupokea fidia ya Sh110.7…
Kila mmoja wetu maishani huhangaika kwa namna yoyote ile kuhakikisha anakuwa na furaha. Wengine wala hawajali kama atatumia njia nzuri…
Dar es Salaam. Unaweza kujiona mwenye kismati na bahati ya kipekee katika dunia hii yenye wanawake zaidi ya bilioni 4,…