Serikali yataja sababu katikakatika ya umeme baadhi ya maeneo Dar
Dar es Salaam. Serikali imesema kwa sasa inaimarisha miundombinu ya umeme jijini hapa hatua inayosababisha kukosekana kwa huduma ya nishati…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Serikali imesema kwa sasa inaimarisha miundombinu ya umeme jijini hapa hatua inayosababisha kukosekana kwa huduma ya nishati…
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Jerry Silaa, amesema kasi aliyokuwa nayo alipokuwa sekta ya ardhi ataindeleza…
Moshi. Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kisarika iliyopo Uru, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Manuari Agusti…
Unguja. Wakati Chama cha ACT Wazalendo kikiendelea na msimamo wake kupinga uchaguzi mkuu kufanyika siku mbili visiwani Zanzibar, Chama Cha…
Dar es Salaam. Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya wizi wa shehena ya mafuta ya petrol na…
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema bado kuna sauti za watu wanawasiliana nao ndani ya jengo la ghorofa…
Dar es Salaam. Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi Mustapha Kodro kuwa kocha msaidizi akichukua nafasi ya Moussa N’Daw raia wa…
Katika kila uchaguzi, jamii ina nafasi ya kipekee ya kuamua mustakabali wake kwa kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo na kuboresha…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza mwanamitandao na mfanyabiashara, Jenifer Jovin ‘Niffer’ ahojiwe na Jeshi la Polisi, kwa kukusanya fedha za…
Dar es Salaam. Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi aliyekuwa kocha wa KMC Abdihalim Moalin kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu…
Morogoro. Aron Daniel (16), mkazi wa mtaa wa Msimamo, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika eneo…
Iran imelaani vikali mauaji ya msemaji wa Hizbullah Mohammad Afif katika shambulio la Israel lililolenga jengo moja katikati mwa Beirut,…
Dar es Salaam. Mama aliyejitolea kukumbatia watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa Amana, Mariam Mwakabungu (26) ameangua kilio baada…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema yupo tayari kuwajibika, endapo ofisi ya Waziri Mkuu itafanya uchunguzi…
Gazeti la Washington Post limeripoti kwamba kuna uwezekano wa Marekani kukabiliwa na tishio kubwa zaidi kuliko silaha za nyuklia katika…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesisitiza kuwa jitihada zote za kuiwekea Tehran…
Bunge la Seneti la Australia limemkaripia seneta mtetezi wa haki za wakazi asili wa nchi hiyo, Lidia Thorpe, kwa matamshi…
Dar es Salaam, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza mwanamitandao na mfanyabiashara Jenifer Jovin ‘Niffer’ atafutwe kwa mahojiano kwa kukusanya pesa za michango…
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye…
Rais wa Marekani, Joe Biden ameripotiwa kuidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Kimarekani kulenga shabaha ndani ya mipaka…
Dar es Salaam. Majeneza 15 yenye miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya ghorofa lililoporomoka kwenye soko la Kariakoo…
Dar es Salaam. Licha ya mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam mamia ya wananchi wamejitokeza kuaga miili ya watu…
Dar es Salaam, Mwili wa msanii mkongwa wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi maarufu ‘King Kikii’ tayari umewasili katika…
Dar es Salaam, Mwili wa msanii mkongwa wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi maarufu ‘King Kikii’ tayari umewasili katika…
Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza kwamba limeua wapiganaji 150 wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika vita vilivyozuka baina…
Morogoro. Aron Daniel (16), mkazi wa mtaa wa Msimamo, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika eneo…
Dar es Salaam. Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amefikisha jumla ya michezo 10 ya Ligi Kuu Bara tangu alipoanza…
Dar es Salaam. Baba wa Mwigizaji Fredy aeleza mwanaye alivyopambania uhai bila mafanikio Baba mzazi wa marehemu mwigizaji Fredy Kiluswa,…
Dar es Salaam. Miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya ghorofa lililoporomoka Kariakoo, inaagwa leo kwenye viwanja vya Mnazi…
Texas, Marekani. Bondia Mike Tyson juzi alifanikiwa kumaliza pambano la raundi nane na kupoteza kwa kura za majaji dhidi ya…
Kuna msemo wa kiandamizi kwenye ulimwengu wa idara ya ufundi kwenye soka kwamba makocha huajiriwa ili wafukuzwe. Huu ni msemo…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araqchi ametoa mjibizo kwa uamuzi wa Umoja…
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuuunga mkono Mhimili wa Muqawama, serikali na…
Dar es Salaam. Wakati shughuli za uokozi wa jengo la ghorofa kuporomoka zikiingia siku ya tatu leo Jumatatu, Novemba 18,…
Jeshi la Yemen limetoa taarifa kuhusu mashambulizi liliyofanya dhidi ya baadhi ya maeneo nyeti na muhimu sana ya kijeshi ya…
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeonya watu kuchangisha michango nje ya utaratibu ikisema michango yote ya waathirika wa ajali…
Dar es Salaam. Baba wa Mwigizaji Fredy aeleza mwanaye alivyopambania uhai bila mafanikio Baba mzazi wa marehemu mwigizaji Fredy Kiluswa,…
Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limekaribisha wito wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis wa kufanywa uchunguzi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania amesisitiza ulazima wa kusitishwa haraka iwezekanavyo mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na jeshi la…
Rais Joe Biden wa Marekani ameripotiwa kuidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Kimarekani kulenga shabaha ndani ya mipaka…
Watu 13 wamethibitika kufariki dunia na wengine 84 kujeruhiwa kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo katika eneo la Kariakoo mkoani…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani mashambulizi makali yaliyofanywa na jeshi la utawala ghasibu wa Israel dhidi…
Mamia ya raia nchini Canada wameandamana katika mji mkuu Ottawa na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa…
Rais Xi Jinping wa China ameweka wazi mistari myekundu minne ambayo amesema haipasi kuvukwa na Marekani ili kuwepo uhusiano wenye…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa jamii ya kimataifa kuhusu “mauaji ya halaiki” ya utawala…
Shirika la Habari la Bloomberg limetangaza kuwa, Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman ameghairi safari yake iliyokuwa imepangwa ya kushiriki…
Katika ripoti yake ya hivi karibuni zaidi, shirika la kuteteta haki za binadamu la Human Rights Watch kwa mara nyingine…
Leo ni Jumatatu tarehe 16 Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na tarehe 18 Novemba 2024. Siku kama ya leo miaka 1165 iliyopita…
Dar es Salaam. Wachumi, wafanyabiashara na wamiliki wa malori nchini wameeleza mategemeo yao ya kuanza kwa usafirishaji wa mizigo kwa…
Baku, Azerbaijan. Watetezi wa mabadiliko ya tabianchi kutoka Afrika wamewasilisha ombi kwenye Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba…