Asimulia alivyokwama kwa saa 72 chini ya kifusi Kariakoo
Dar es Salaam. Mfanyabiashara wa soko la Kariakoo, Benedicto Mwanalingo (26) mkazi wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam amesimulia…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Mfanyabiashara wa soko la Kariakoo, Benedicto Mwanalingo (26) mkazi wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam amesimulia…
Katavi. Mlezi wa Mkoa wa Katavi na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa,…
Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini mkoani hapa watumie nafasi zao kuhamasisha waumini kujitokeza…
Dar es Salaam. Mwili wa mwigizaji wa Bongo Movie Fredy Kiluswa aliyefariki dunia Novemba 16, 2024 wakati akipatiwa matibabu kwenye…
Geita. Mahakama Kuu Kanda ya Geita, imepokea vielelezo vinne vilivyotolewa na upande wa jamhuri katika kesi ya mauaji inayomkabili Fikiri…
Dar es Salaam. Wakati ubomoaji usiofuata sheria ukikoleza hatari za kiusalama katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam, afya za…
Katika kuendeleza hatua zake za kiuadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu ya jana tarehe 18 Novemba Umoja…
Dar es Salaam. Shirikisho la Chama cha Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (Femata), limeiomba Serikali mashine za kuchimba ambazo kwa…
Dar es Salaam. Wakati kesho Jumatano Novemba 20, 2024 pazia la kampeni za kuwania uongozi katika uchaguzi Serikali za mitaa,…
Dar es Salaam. Raia wa India, Devanshu Dusad (24) amehukumiwa kulipa faini ya Sh1 milioni au kutumikia kifungo cha miaka…
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) maarufu Niffer…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa maneno kwa ajili ya wananchi na viongozi wa Lebanon walioko kwenye…
Balozi wa Iran nchini Tanzania ameshiriki katika Siku ya Utamaduni wa Washirazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ili kuzidi kutia…
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, wahamiaji 604 walikamatwa na kurudishwa nje ya pwani ya Libya wiki moja…
Takriban watu watatu yaani mwanajeshi mmoja na raia wawili wameuawa katika shambulio la watu wanaotaka kujitenga kwenye eneo linalotokea vita…
Serhou Guirassy, amekuwa mchezaji muhimu akiibeba Guinea kwenye michuano ya kufuzu Afcon 2025, akiwa amefunga mabao sita katika mechi tatu…
Dar es Salaam. Tasnia ya muziki wa Bongo Fleva imejaa vipaji vingi kutoka kwa wasanii tofauti tofauti, ambao kila mmoja…
Liverpool, England. Maisha ndani ya Liverpool yanaelekea kuwa mafupi kwa Federico Chiesa kufuatia ripoti kuwa timu hiyo itamtoa kwa mkopo…
Dar es Salaam.Simanzi na vilio vyatawala viwanja vya Leaders Club baada ya waombolezaji kushindwa kujizuia mara baada ya kuona mwili…
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Kariakoo, Martine Mbwana amesema maduka kwenye mitaa iliyopo pembezoni mwa ghorofa lililoporomoka yatafunguliwa…
Dar es Salaam. Miili tisa kati ya 15 iliyoagwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jana Jumatatu, Novemba 18, 2024 imehifadhiwa…
Upatikanaji wa vyoo bora na maji safi na salama kunatajwa kama moja ya huduma bora ambazo binadamu anazihitaji katika mazingira…
Parstoday- Mtaalamu wa masuala ya kimataifa na mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa X, ameitambua hatua ya utawala wa Kizayuni…
Timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars, itashuka dimbani leo Novemba 19, 2024 dhidi ya Guinea kwenye mchezo wa mwisho wa…
Dar es Salaam. Mwanafunzi wa kidato cha nne Jackson Clement amesimulia namna alivyokwama chini ya kifusi kwa saa 24, wakati…
Dar es Salaam. Shahidi wa 13, Ditektivu Sagenti Samweli, akiongozwa na mwendesha mashitaka, Wakili wa Serikali Mkuu, Yasinta Peter, ameieleza…
Duru za usalama za utawala wa Kizayuni zimemtumia ripoti waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netnyahu, na kumuonya kuhusu nguvu za…
Dodoma. Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha…
Migogoro ya hali ya hewa na vita nchini Ukraine na Mashariki ya Kati ilichukua nafasi kubwa katika siku ya kwanza…
Nairobi. Jimbo Kuu Katoliki la Nairobi limekataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa kwa Rais William Ruto na Gavana…
Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuzuia kuongezeka mapigano nchini Ukraine. Kwa mujibu wa ripoti…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB), Peyman Jebelli, na Mkuu wa Kitengo cha…
Balozi mpya wa Kenya nchini Iran amekutana na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na…
Pars Today- Mhadhiri mmoja wa Kiirani ameashiria mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Gaza na…
Mhandisi wa program za kompyuta wa Iran, Alireza Zakeri ametangaza kujiuzulu kutoka shirika la Google kutokana na ushirikiano wa kampuni…
Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon inaendelea kutumia mkakati wake wa kujihami wa “Moto Kwa Moto, Beirut kwa Tel…
Iran imelaani vikali mauaji ya msemaji wa Hizbullahh Mohammad Afif katika shambulio la Israel lililolenga jengo moja katikati mwa Beirut,…
Unguja. Kwa kipindi cha nyuma, shule za Zanzibar zilikuwa zikifanya vibaya kwenye mitihani ya kitaifa, lakini sasa hali imebadilika huku…
Dar es Salaam. Wakati mataifa mbalimbali barani Afrika yakiendelea kufanya uwekezaji katika sekta ya elimu, wito umetolewa kwa nchi hizo…
Mpango wa elimu bila malipo uliobuniwa na Serikali umelenga kupanua fursa za elimu kwa watoto wote nchini. Hata hivyo, takwimu…
Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Umoja wa Mataifa ya Kuchunguza Mienendo ya Israel Palestina (SCIIP) amesema, vita vya utawala wa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, ameikosoa Uingereza kwa kukanusha mauaji ya kimbari yanayoendelea huko…
Kwa akali wanajeshi 30 wa utawala haramu wa Israel wameangamizwa na wanamuqawama kaskazini mwa Ukanda wa Gaza katika majuma ya…
Yusuf Maitama Tuggar, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Nigeria amesema kuwa nchi yake ingali inaunga mkono juhudi za kisiasa…
Wananchi wa Gabon wamepasisha katiba mpya ya nchi hiyo kwa wingi wa kura katika zoezi la kura ya maoni lililofanyika…
Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema kuwa, hata wananchi wa Ulaya pia wametambua…
Leo ni Jumanne tarehe 17 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Novemba 2024. Siku kama ya leo…
Musoma. Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitano amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara, akidaiwa kunyweshwa…
Morogoro. Mama aliyezaa watoto 15, Neema Kenge (39) mkazi Mtaa wa Mgonahazeru Manispaa ya Morogoro, amefariki dunia baada ya kuugua…