Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani na siku za huzuni kwa watoto wa Gaza na Lebanon
SWAHILI NEWS

Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani na siku za huzuni kwa watoto wa Gaza na Lebanon

MUKSININovember 21, 2024

Siku ya Kimataifa ya Watoto imeadhimishwa duniani huku mauaji ya watoto wa Gaza na Lebanon yanayofanywa na utawala wa Kizayuni…

Mashahidi wawili kutoa ushahidi kesi ya Chuma cha Chuma
WANANCHI NEWS

Mashahidi wawili kutoa ushahidi kesi ya Chuma cha Chuma

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Serikali imesema itakuwa na mashahidi wawili wa upande wa mashtaka katika kesi ya jinai inayomkabili raia wa…

Marekani yapinga tena azimio la kusitisha mapigano Gaza
SWAHILI NEWS

Marekani yapinga tena azimio la kusitisha mapigano Gaza

MUKSININovember 21, 2024

Ikiwa ni katika muendelezo wa uungaji mkono wake mkubwa kwa utawala ghasibu wa Israel, mapema siku ya Jumatano Novemba, Marekani…

Tutumie kampeni kumjua kiongozi sahihi
WANANCHI NEWS

Tutumie kampeni kumjua kiongozi sahihi

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Siasa ni daraja la maendeleo, lakini msingi wake ni uongozi bora. Kauli hii imebeba uzito wa dhana…

Yaliyojiri kesi anayedaiwa kujeruhi, kutishia kwa bastola Club 1245
WANANCHI NEWS

Yaliyojiri kesi anayedaiwa kujeruhi, kutishia kwa bastola Club 1245

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao…

Wasanii hawa wakikaa pamoja hawashikiki
WANANCHI NEWS

Wasanii hawa wakikaa pamoja hawashikiki

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Kuwa na muunganiko mzuri wa wasanii hufanya kazi zao kupendwa na kuwaletea mafanikio. Wengine hupenda kuita Duo…

Rais wa Iran atoa wito kwa Papa Francis kusaidia kukomesha jinai za Wazayuni huko Gaza, Lebanon
SWAHILI NEWS

Rais wa Iran atoa wito kwa Papa Francis kusaidia kukomesha jinai za Wazayuni huko Gaza, Lebanon

MUKSININovember 21, 2024

Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, katika ujumbe wake kwa Papa Francis, ametoa wito wa kumtaka atumie ofisi yake kusaidia kukomesha…

Kocha wa makipa Chelsea aachia ngazi
WANANCHI NEWS

Kocha wa makipa Chelsea aachia ngazi

MUKSININovember 21, 2024

London, England. Baada ya kudumu kwa miaka 18 kwenye kikosi cha Chelsea kocha wa makipa wa timu hiyo, Hilario ameachia ngazi.…

Pezeshkian: Upanuzi wa uhusiano na Qatar ni muhimu kwa Iran
SWAHILI NEWS

Pezeshkian: Upanuzi wa uhusiano na Qatar ni muhimu kwa Iran

MUKSININovember 21, 2024

Rais Masoud Pezeshkian amesema Iran inaupa umuhimu mkubwa upanuzi wa uhusiano na jirani na rafiki yake,  Qatar. Rais Pezeshkian aliyasema…

Hamas: Israel inalenga ‘kufuta uwepo wote wa Wapalestina’
SWAHILI NEWS

Hamas: Israel inalenga ‘kufuta uwepo wote wa Wapalestina’

MUKSININovember 21, 2024

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas,  inasema kuwa lengo pekee la utawala wa Kizayuni wa Israel ni “kufuta”…

Iran yaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Mashujaa, kwa heshima ya Shahidi Qassem Soleimani
SWAHILI NEWS

Iran yaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Mashujaa, kwa heshima ya Shahidi Qassem Soleimani

MUKSININovember 21, 2024

Iran leo inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Mashujaa , ikitoa heshima kwa mmoja wa watu wake wakuu, Shahidi Qassem Soleimani.…

Sheikh Qassem: Hizbullah kulenga Tel Aviv kujibu mashambulizi ya Israel dhidi ya Beirut
SWAHILI NEWS

Sheikh Qassem: Hizbullah kulenga Tel Aviv kujibu mashambulizi ya Israel dhidi ya Beirut

MUKSININovember 21, 2024

Kiongozi wa Hizbullah amesema harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon iko tayari kupigana vita vya muda mrefu dhidi ya utawala…

Araghchi: Bodi ya Magavana ya IAEA inahitaji kupinga azimio la E3 dhidi ya Iran
SWAHILI NEWS

Araghchi: Bodi ya Magavana ya IAEA inahitaji kupinga azimio la E3 dhidi ya Iran

MUKSININovember 21, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema wajumbe wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa…

Kesi ya Boni Yai, Malisa kuanza kusikilizwa Desemba 19
WANANCHI NEWS

Kesi ya Boni Yai, Malisa kuanza kusikilizwa Desemba 19

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Desemba 19, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa…

Iran na Qatar zasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
SWAHILI NEWS

Iran na Qatar zasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

MUKSININovember 21, 2024

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar katika mazungumzo yao mjini Tehran wamesisitiza juu…

Marekani yapinga tena rasimu ya azimio la kusitisha vita, Gaza
SWAHILI NEWS

Marekani yapinga tena rasimu ya azimio la kusitisha vita, Gaza

MUKSININovember 21, 2024

Katika kuuhami na kuunga mkono utawala wa Israel, Marekani kwa mara nyingine tena imelipigia kura ya turufu azimio la nchi…

Wapiganaji wa RSF washambulia kijiji na kuua watu 42 katikati mwa Sudan
SWAHILI NEWS

Wapiganaji wa RSF washambulia kijiji na kuua watu 42 katikati mwa Sudan

MUKSININovember 21, 2024

Watu wasiopungua 42 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika kijiji cha Wad…

Watu wasiopungua 36 wauawa shahidi katika hujuma ya anga ya Israel katika mji wa Palmyra, Syria
SWAHILI NEWS

Watu wasiopungua 36 wauawa shahidi katika hujuma ya anga ya Israel katika mji wa Palmyra, Syria

MUKSININovember 21, 2024

Takriban watu 36 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni katika mji wa kihistoria na kitamaduni wa…

Upinzani Kongo wataka kuchukuliwa hatua kuzuia mabadiliko ya katiba
SWAHILI NEWS

Upinzani Kongo wataka kuchukuliwa hatua kuzuia mabadiliko ya katiba

MUKSININovember 21, 2024

Vyama vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidmemokrasia ya Kongo vimewatolea wito wananchi kupinga mipango tarajiwa inayoandaliwa na Rais Felix Tshisekedi…

Uchaguzi wanukia TPLB, Mnguto aking’atuka Coastal
WANANCHI NEWS

Uchaguzi wanukia TPLB, Mnguto aking’atuka Coastal

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Uamuzi wa Steven Mnguto kutotetea nafasi ya uenyekiti wa klabu ya Coastal Union hapana shaka utailazimisha Bodi…

ICC yamhukumu miaka 10 jela mhalifu wa kivita kwa ukatili huko Mali
SWAHILI NEWS

ICC yamhukumu miaka 10 jela mhalifu wa kivita kwa ukatili huko Mali

MUKSININovember 21, 2024

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu kifungo cha miaka kumi jela mkuu wa polisi muasi kwa jinai za kivita…

WANANCHI NEWS

Taifa Stars yaweka rekodi sita Afcon 2025

MUKSININovember 21, 2024

Dar es Salaam. Rekodi tano zinaisubiria timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye fainali za mataifa ya Afrika (Afcon)…

Alichokisema Rais Samia mkutano G20, ataka kupambana na njaa, umasikini
WANANCHI NEWS

Alichokisema Rais Samia mkutano G20, ataka kupambana na njaa, umasikini

MUKSININovember 21, 2024

Rio De Janeiro. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema licha ya utajiri uliopo duniani ila bado kuna changamoto ya…

CCM yatuma salamu wanaopanga kuwapigia kura ya hapana, Nape aibukia Rukwa
WANANCHI NEWS

CCM yatuma salamu wanaopanga kuwapigia kura ya hapana, Nape aibukia Rukwa

MUKSININovember 21, 2024

Dar/Rukwa. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema wanaopanga kuwapigia kura ya hapana…

CCM yajinadi kwa miradi ya maendeleo, Chadema ikianzisha ‘Operesheni Ondoa Mizigo’
WANANCHI NEWS

CCM yajinadi kwa miradi ya maendeleo, Chadema ikianzisha ‘Operesheni Ondoa Mizigo’

MUKSININovember 21, 2024

Moshi. Wakati baadhi ya vyama vya siasa vikizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, mkoani Kilimanjaro, Chama Cha Mapinduzi…

Hii hapa mitego ya wauzaji na namna ya kuiepuka
WANANCHI NEWS

Hii hapa mitego ya wauzaji na namna ya kuiepuka

MUKSININovember 21, 2024

Wiki iliyopita tuliangazia kidogo kuhusiana na thamani ya fedha kwa huduma au bidhaa unayoinunua. Mara nyingi, wauzaji hujikita kwenye njia…

Nini mustakabali utoaji huduma za fedha nchini?
WANANCHI NEWS

Nini mustakabali utoaji huduma za fedha nchini?

MUKSININovember 21, 2024

Uvumbuzi wa teknolojia kama blockchain, akili bandia (AI), majukwaa ya malipo, na mifumo ya usalama wa kidijitali unatoa picha ya…

Ajali ya Kariakoo ni hasara juu ya hasara
WANANCHI NEWS

Ajali ya Kariakoo ni hasara juu ya hasara

MUKSININovember 21, 2024

Tukio la kuanguka kwa jengo la ghorofa nne katika Mtaa wa Congo na Mchikichi jijini Dar es Salaam liliibua simanzi…

Mpasuko na mgogoro mkubwa katika baraza la mawaziri la Netanyahu kutokana na baraza hilo kushindwa kukabiliana na makundi ya muqawama
SWAHILI NEWS

Mpasuko na mgogoro mkubwa katika baraza la mawaziri la Netanyahu kutokana na baraza hilo kushindwa kukabiliana na makundi ya muqawama

MUKSININovember 21, 2024

Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel linakabiliwa na mgogoro mkubwa usio na mfano wake kufuatia kuendelea vita…

Undani miongo saba ya mishemishe Soko la Feri
WANANCHI NEWS

Undani miongo saba ya mishemishe Soko la Feri

MUKSININovember 21, 2024

Inaelezwa kuwa umri wa soko maarufu la samaki jijini Dar es Salaam (Feri) ni miaka 74 na kilichobadilika ni wingi…

Nchi za Kiislamu zichukue hatua dhidi ya askari wa Israel aliyevunjia heshima Qur’ani
SWAHILI NEWS

Nchi za Kiislamu zichukue hatua dhidi ya askari wa Israel aliyevunjia heshima Qur’ani

MUKSININovember 21, 2024

Kitendo cha hivi punde zaidi cha kuvunjiwa heshima Qur’ani na askari wa utawala haramu wa Israel huko Gaza kimelaaniwa na…

Kamanda wa Zamani: Adui anataka kulenga Iran, Saudi Arabia, Uturuki ikiwa Palestina itaanguka
SWAHILI NEWS

Kamanda wa Zamani: Adui anataka kulenga Iran, Saudi Arabia, Uturuki ikiwa Palestina itaanguka

MUKSININovember 21, 2024

Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kuwa utawala wa Israel…

ٌWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon
SWAHILI NEWS

ٌWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon

MUKSININovember 21, 2024

Idara yha Oparesheni ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon imetangaza kuwa, hadi sasa wanajeshi 110 wa utawala wa Kizayuni wa…

Utawala wa Kizayuni waendelea kukodolea macho ya tamaa ardhi ya Somalia
SWAHILI NEWS

Utawala wa Kizayuni waendelea kukodolea macho ya tamaa ardhi ya Somalia

MUKSININovember 21, 2024

Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza njama zake za kutaka kuwa na kituo cha kijeshi kaskazini mwa Somalia, kupitia eneo…

Karibu watoto wote huko Gaza wanasumbuliwa na athari za kisaikolojia za vita
SWAHILI NEWS

Karibu watoto wote huko Gaza wanasumbuliwa na athari za kisaikolojia za vita

MUKSININovember 21, 2024

Madhara ya afya ya akili ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaweza kuonekana…

Msumbiji: Upinzani watoa wito kuomboleza vifo vya watu 50
SWAHILI NEWS

Msumbiji: Upinzani watoa wito kuomboleza vifo vya watu 50

MUKSININovember 21, 2024

Kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji Venancio Mondlane ametoa wito wa kufanyika siku tatu za maombolezo kuanzia jana Jumatano kutokana na…

Hii hapa mashine ya Yanga dirisha dogo
WANANCHI NEWS

Hii hapa mashine ya Yanga dirisha dogo

MUKSININovember 21, 2024

Yanga imeanza mikakati ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu ambapo jina…

Wapemba waliobadili majina wahangaika kupata uraia wa Kenya
WANANCHI NEWS

Wapemba waliobadili majina wahangaika kupata uraia wa Kenya

MUKSININovember 20, 2024

Mombasa. Baadhi ya watu wenye asili ya Pemba, Zanzibar wameeleza changamoto wanazokutana nazo katika mchakato wa kujisajili kuwa raia wa…

WANANCHI NEWS

Ahadi, majigambo vyatawala siku ya kwanza ya kampeni, wengine kesho

MUKSININovember 20, 2024

Dar/Mikoani. Ikiwa ni siku ya kwanza za kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa jana, baadhi ya vyama vya siasa…

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto wa miaka minane
WANANCHI NEWS

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto wa miaka minane

MUKSININovember 20, 2024

Mwanza. Mahakama ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, imemhukumu Samwel Anthony (34) kifungo cha maisha jela baada ya kumtia hatiani…

Wawili kizimbani wakidaiwa kukwepa kodi ya TRA
WANANCHI NEWS

Wawili kizimbani wakidaiwa kukwepa kodi ya TRA

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Wakazi wawili jijini hapa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakishtakiwa kwa makosa tisa yakiwamo ya…

WANANCHI NEWS

Rais Samia awatembelea majeruhi ghorofa la Kariakoo, ampa matumaini mwanafunzi aliyenasa saa 24

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Mtapona kwa uwezo wa Mungu. Ndilo neno lililotawala kinywani mwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alipowatembelea…

Trump kutimua wahamiaji Wakenya 30,000 Marekani?
WANANCHI NEWS

Trump kutimua wahamiaji Wakenya 30,000 Marekani?

MUKSININovember 20, 2024

Washington. Zaidi ya Wakenya 30,000 wanaoishi nchini Marekani bila vibali halali wanakabiliwa na hatari ya kufukuzwa, kutokana na mipango ya…

WANANCHI NEWS

Rais Samia: Hatutasita kubomoa Kariakoo yote

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haitasita kubomoa majengo yote ya Kariakoo iwapo tume iliyoundwa kuchunguza usalama…

Kombo wa Chadema aliyepotea akashtakiwa, aachiwa kwa faini ya Sh85,000
WANANCHI NEWS

Kombo wa Chadema aliyepotea akashtakiwa, aachiwa kwa faini ya Sh85,000

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya…

WANANCHI NEWS

Waathirika jengo Kariakoo kupoteza mamilioni ya fidia

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Waathirika na ndugu wa walioathiriwa na kuporomoka jengo la ghorofa nne Kariakoo wangelipwa mamilioni ya fidia iwapo…

Besigye ashtakiwa mahakama ya kijeshi kwa njama za kulipua kambi
WANANCHI NEWS

Besigye ashtakiwa mahakama ya kijeshi kwa njama za kulipua kambi

MUKSININovember 20, 2024

Kampala. Mwanasiasa mkongwe wa upinzani wa Uganda, Dk Kizza Besigye aliyetoweka Nairobi nchini Kenya Jumamosi na baadaye kudaiwa kutekwa, ameibukia…

Utetezi anayedaiwa kumteketeza mke kwa magunia mawili ya mkaa waibua mapya
WANANCHI NEWS

Utetezi anayedaiwa kumteketeza mke kwa magunia mawili ya mkaa waibua mapya

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Mshtakiwa Hamis Luwongo, anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya mkewe na kuuteketeza mwili wake kwa magunia mawili…

Serikali yatangaza neema kwa wastaafu kuanzia Januari 2025
WANANCHI NEWS

Serikali yatangaza neema kwa wastaafu kuanzia Januari 2025

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Baada ya kilio cha muda mrefu cha wastaafu wakilalamikia nyongeza ya pensheni, hatimaye Serikali imetangaza kiwango cha…

Mageuzi TPSF kuwagusa wanawake, vijana na teknolojia
WANANCHI NEWS

Mageuzi TPSF kuwagusa wanawake, vijana na teknolojia

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imeweka mkazo kwenye teknolojia, vijana na kina mama ili kuhakikisha taasisi hiyo…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us