Oparasheni ya kigaidi ya Israel katika maji ya Ulaya; Israel yashambulia meli ya misaada kwa ajili ya Gaza

Meli ya Freedom Flotilla, iliyokuwa ikielekea Gaza ilitangaza mapema leo asubuhi kuwa imeshambuliwa na ndege isiyo na rubani ya Israel katika maji ya kimataifa kwenye pwani ya Malta.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *