Onyo la Baraza la Ulaya kuhusu matokeo ya vikwazo vya Marekani dhidi ya ICC

Baraza la Ulaya limeonya kuhusu matokeo ya hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake The Haugue Uholanzi.