Oligui Nguema ashinda kwa kishindo uchaguzi wa rais wa Gabon kwa kupata 90.35% ya kura

Brice Oligui Nguema, kiongozi wa serikali ya mpito ya Gabon na mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi ya mwaka 2023, amepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo wa 90.35% ya kura. Hayo ni kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani jana Jumapili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *