OIC: Mzingiro dhidi ya Gaza ni jinai dhidi ya binadamu

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetaja mzingiro wa utawala ghasibu wa Israel dhidii ya Gaza kuwa ni jinai dhidi ya binadamu.