‘Ninatamani kurudi shule’: BBC yazindua kipindi kwa ajili ya watoto katika maeneo ya vita

“Nilipoona shule yangu ikiwa magofu, huzuni kubwa ilinitawala. Natamani irudi kama ilivyokuwa zamani,” Tareq anaiambia BBC akiwa Gaza.