“Ninadhani nina nguvu za kumaliza vita hivi,” asema Trump

Siku moja baada ya mazungumzo ya kutafuta Amani Ukraine kati ya Marekani na Urusi, Rais Donald Trump amekasirishwa na majibu ya Ukraine kuhusu kushirikishwa kwenye mazungumzo