‘Nilitaka tu kuwa na nyumba na kulipa madeni, nikaamua kuuza figo yangu’

Ununuzi ni kati ya dola $1,700 na $2,700 ambayo hulipwa kiasi cha kuanzia kabla kufanyiwa operesheni na kumaliziwa kiasi kilichobaki kama robo baada ya kutolewa figo