“Nilipata Mtetemeko kidogo wa Sukari ziliponyesha mvua nyingi, viwanda havikuweza kuzalisha, lakini sukari kwenye baadhi ya maeneo zilikuwepo kwenye baadhi ya maghala, lakini watu wakabana na sukari ikapanda bei kupindukia”-Mhe.Samia Suluhu Hassan – Rais wa Tanzania.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania