‘Nililazimika kubakwa ili kuokoa maisha yangu’

Takribani wafungwa wa kiume 4,000 walitoroka. Lakini ni wachache kati ya wanawake walioweza kutoroka. Jumla ya wafungwa wa kike 132 na angalau watoto 25 waliteketea hadi kufa.