‘Nilikuwa mwanasoka tajiri na mraibu wa kamari’

Tatizo la Sturridge la kucheza kamari lilianza alipokuwa mdogo lakini lilizidi kuwa baya alipokuwa maarufu na bahati ya kuwa mwanasoka wa kulipwa.