‘Nilihisi mguso wa ngozi yenye majimaji ikipapasa uso wangu’

Dall alikuwa ameweka kamera nyuma ya kifaa chake ili kurekodi mawimbi yanayoinuka – ambayo ilirekodi tukio la ajabu la mwanawe.