Ni yepi malengo ya mradi wa “Sesame Street” katika nchi za Kiislamu?

Hamjambo na karibuni katika kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitaangazia malengo ya ya mradi wa “Sesame Street” katika nchi za Kiislamu na Kiarabu…