Ni vipi vipaumbele vya Iran katika Duru ya 4 ya Mkutano wa Mazungumzo kati ya Iran na Nchi za Kiarabu

Duru ya 4 ya Mkutano wa Mazungumzo kati ya Iran na Nchi za Kiarabu chini ya anwani “Uhusiano Imara na Maslahi ya Pande Mbili” inafanyika Doha mji mkuu wa Qatar kwa ushirikiano wa pamoja wa Baraza la Kiistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran na Kituo cha Utafiti cha al Jazira.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *