Ni sababu gani zinazifanya nchi za Afrika ziamue kuitimua Ufaransa katika ardhi zao?

Ufaransa imeanza rasmi kuondoka katika ardhi ya Senegal kwa kukabidhi kambi mbili za kijeshi zilizoko kwenye nchi hiyo ya Kiafrika.