‘Ngono studioni’ na ‘vitisho’: Wafanyakazi wa Diddy wafichua tabia zake katika tasnia ya muziki

Wafanyikazi wa Bad Boy Records wanadai matukio ya kutamausha, katika safari ya Combs kuibuka msanii, ambaye sasa anakabiliana na mashtaka ya biashara ya ngono.