Netanyahu: Mpango wa Trump wa “kuitwaa Ghaza” ni “fursa ya kihistoria” ya kudhamini mustakabali wa Israel

Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameliita pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la “kuitwaa” Ghaza “fursa ya kihistoria” ya kudhamini mustakabali wa utawala huo bandia na kudai kwamba kuwaondoa Wapalestina wa Ghaza ndilo “suluhisho pekee linalowezekana.”