Netanyahu apigwa na butwaa mbele ya kamera baada ya Trump kutangaza mazungumzo na Iran

Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu, alionekana kukumbwa na mshtuko na mshangao wa ghafla katika mkutano wa pamoja na waandishi wa habari akiwa pamoja na Rais wa Marekani, Donald Trump, baada ya Trump kutangaza kwamba mazungumzo kati ya Washington na Tehran yataanza Jumamosi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *