Nenda hospitali ukiona mambo haya kwenye sikio lako

Mtaalamu wa masikio, koo na pua Moses Ayodele Akinola anazungumzia mambo mbalimbali yanayoathiri masikio na kusababisha upotevu wa kusikia.